First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Trust me Ukwaju ni mtu wa muhimu sana jukwaani basi tu ni vile hapendi shoow off. Ila anga zake anaokoa jahazi sana..bils kuwasahau akika
Mrangi
MGuccI
Killimonger
Maroon 7
 
Mkuu mi ni mdau sana jukwaa lile sema huwa sichangii mara kwa mara. Mwenyewe ni IT by profession na nathamini sana mkuu CHIEF MKWAWA anavyojitoa kutatua changamoto mbalimbali za member wenzetu pasipo malipo yoyote yale. Popote ulipo Chief ubarikiwe sana.
Aisee humsomi mwl RCT
 
Malcom Lumumba, Oh Lord... this's so beautiful Prishaz, and thanks sana yaani kwa ku-appreciate!!

Sema Malcom unajua nini huyu Prishaz! About 2-3 years ago nili-recommend akaangalie Breaking Bad na akiipenda, itabidi anipe zawadi! Tangia siku hiyo, sijamuona tena... sijui huwa anaandika majukwaa yapi!!!
 
Nimekuja kwa kasi sana... si unajua mie ninavyopenda kusifiwa?Oh Lord... this's so beautiful Prishaz, and thanks sana yaani kwa ku-appreciate!!

Sema Malcom unajua nini huyu Prishaz! About 2-3 years ago nili-recommend akaangalie Breaking Bad na akiipenda, itabidi anipe zawadi! Tangia siku hiyo, sijamuona tena... sijui huwa anaandika majukwaa yapi!!!
Mkuu Chige umenifanya nicheke, hakika una kumbukumbu sana nimekumbuka ulirecomend The last ship pia. Ngoja nifanye mchakato wa zawadi
 
Mkuu Chige umenifanya nicheke, hakika una kumbukumbu sana nimekumbuka ulirecomend The last ship pia. Ngoja nifanye mchakato wa zawadi
Naanzaje Prishaz kusahau zawadi??!! Tena umenikumbusha, na The Last Ship kwahiyo ni double gift!!
 
Naanzaje Prishaz kusahau zawadi??!! Tena umenikumbusha, na The Last Ship kwahiyo ni double gift!!
Ni double gift lakini zitatofautiana uzito kulingana na uzuri wa movie.
 
Kwahiyo ni zawadi moja unusu, sio?! Kwanza hebu niambie, uliipenda ipi zaidi?!
Zawadi ni mbili siyo moja na nusu ila tu zitatofautiana thamani kidoogo sana maana series zote nilizipenda ila zinazidiana kidogo tu.

Breaking bad 4.8 star
Last ship 4.6 star.
Una recommendation nyingine? Au mpaka zawadi zifike?
 
Back
Top Bottom