First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

[emoji848]
IMG_20191027_114453.jpeg
 
Homeland ni super sana ila kuanzia season 4 nayo haikunivutia kivile ila niliimaliza. Go for it
Daah nishajirostisha... Kweli unapofanya kuangalia muvi usisikilize upambe wa wa wana JF. Wanaingizana mkenge
 
Mbona me sipo kwenye list zenu? Nawasemea kwa Melo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Homeland ni super sana ila kuanzia season 4 nayo haikunivutia kivile ila niliimaliza. Go for it
Niliicheck kitambo sikuipenda niliishia season 3, ila icheck huwezi jua unaweza kuipenda.
Naanza kuzifahamu tastes zako!!

Lost... YES, nakubaliana na wewe! It's a great idea lakini baadae wakazingua sana! Na walianza kuniboa zaidi kwenye hiyo hiyo S03! And guess what?!Nilikuwa nampenda sana Anna-Lucia sema wakaniboa sana walipomchezesha season moja tu, though inasemekana ni mwenyewe ndie hakutaka kuendelea!!

Homeland?! OH LORD... am speechless! Sijaacha kumuwaza Sgt Brody! Na kweli, kuanzia S04 walianza kuzingua though najilazimisha kuwaelewa developers wa Homeland... Alex Gansa na Howard Gordon ambao wanazijua sana fitina za US kwa upande mmoja na Middle East kwa upande mwingine!

Na ukiangalia hizi seasons zao 3 za mwisho, ni purely the making of Arab Spring!!
 
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..

1. Mshana Jr
2. Chige
3. OKW BOBAN SUNZU
4. Salary Slip
5. Khantwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo

=====UPDATES======

Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..

SUBS :

Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, extrovet, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa
binti kiziwi

Unaweza panga kikosi chako pia.



UZI TAYARI.
Mkuu nashukuru sana. Nimefarijika mno kwa kutambua mchango wangu hapa jukwaani. Tuko pamoja katika kuendesha gurudumu hili la Jamiiforums. Barikiwa sana.
 
Back
Top Bottom