First eleven yangu ya members wa JF 2019


Chige nashukuru kuwa umenielewa na kwa kiasi kikubwa tuko ukurasa mmoja Anna alikuwa ananivutia sana na sijui kwa nini hizi series wale watu ambao binafsi naona walikuwa key ndio walitoka mapema.

Brody ndio sitaki hata kukumbuka nilimkubali sana alipobadili dini na mwishoe kuja kutoka nilikuwa najilazimisha kuangalia. Hivi umeangalia Tyrant?
Halafu sasa hivi naona huna suggestion😎
 
Yaani hadi sasa nashindwa kufahamu walitumia vigezo gani ku-cancel Tyrant, manake kwa maoni yangu Tyrant walikuja kui-cancel wakati ndo imekuja kivizuri zaidi kuliko ilivyokuwa kabla! Tena afadhali creators wa ile show, pamoja na zingine kama ile (Homeland & 24) hivi sasa wamehamia Sony... nasubiria kwa hamu sana kazi zao upande ule!

Here are my suggestions:-
1. The Americans
2. House of Cards
3. The Wire
4. The Good Doctor
5. Grey's Anatomy
6. Suits
7. Tom Clancy's Jack Ryan-- hawa naona wamerudi kivingine na kuingiza taste zangu (political thriller)
8. Silicon Valley (Comedy but not too comedic)
9. Elite
10. Ingobernable

Na zingine kadhaa maarufu ambazo sikuona umuhimu wa kuzitaja kutokana na umaarufu wake!
 

Asante sana nimepata hapo za kuongeza kwenye list yangu, nikizimaliza nitakurudia.
 
Niwe tu muwazi kuna vyumba vingine sijawahi kuingia tangu nijoin jf 😀
 
unaweza kuta mtoa mada na ID zaingine kama 7 hivi hapo kwnye listi NI MTU MMOJA.
ahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…