First eleven yangu ya members wa JF 2019

Wachache tumekuelewa mujarab kabisa mkuu.......[emoji23].[emoji23].[emoji23].[emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
kweli kabisa lkn kuna member wengi tu wapo hewani wanachungulia km mimi yaani hatupitwi
unajua wakongwe huwa wanachungulia na kusawazisha mfano No 1 nampa Maxence Melo bila yeye humu tungeshafunga JF au tunacheza na Nyavu Magerezani
Kashinda Tuzo kibao na za Kimataifa hata Ikulu hawajamuita, Bungeni au sisi Member tupotupo tu nyuma ya Keybody
 
Naam Mkuu, uko sawa kabisa. Huyu mkuu Chief Mkwawa nadhani ndiye mtaalam zaidi kwenye mambo ya tech na electronic gadgets. Halafu sijawahi kubahatika kumwona akibarizi majukwaa mengine
Nakukumbusha Umeangalia jukwaa moja tu!

Jukwaa la science & Tech -------->. Chief mkwawa
 
Huo ujinga wake ndio moja ya kigezo kilicho mfanya atajwe kwenye list mkuu.
Kwani yule @kidukulilo ama Ushimen naye hua anaadika ya maana..??
kuna member wanaingia kwa kuangalia tu na wanatoka hawaandiki chochote lkn wanted hawaiachi JF
kwa hiyo tunapita kimyakimya lakini ni vikongwe kwenye !st eleven hawaingizwi
Kigogo
[IMG alt="Kigogo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/8/8577.jpg?1557759547[/IMG]
JF-Expert Member Β· 42 Β· From Dar es Salaam Tanzania
Joined Dec 14, 2007
Last seen Jul 21, 2019
Messages20,551Reaction score1,643Points2,000
sijui ndiye huyu wa 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…