First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Mkuu mi ni mdau sana jukwaa lile sema huwa sichangii mara kwa mara. Mwenyewe ni IT by profession na nathamini sana mkuu CHIEF MKWAWA anavyojitoa kutatua changamoto mbalimbali za member wenzetu pasipo malipo yoyote yale. Popote ulipo Chief ubarikiwe sana.
ID ya Chief ni Chief-Mkwawa, tena ipo verified.

Hiyo nyingine sidhani kama ni yake
 
[emoji111][emoji111][emoji111]
FB_IMG_15713028124654426.jpeg
 
Back
Top Bottom