Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu inachukua miaka mingi sana kutengeza jina lako hapa na ukajulikana. Vingenevyo act kama @kidukulilo utajulikana fasta tu..Uzi siupendi huu! Umekaa kujuana juana Tuu...Ndio maana niliweka uzi wangu Tusiojulikana ukafutwa hapa,hii changamoto isipoangaliwa hapa nayo ni jipu haki nawaambia humu kuna makundi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zifuatazo ni sifa za Tigo Pesa
Riziki ya mtu ipo hapo usiibane[emoji85][emoji85][emoji3][emoji3][emoji3] ngoja nilifikirie hili wazo lako mdogo wangu. [emoji848][emoji848][emoji848]
Itabidi tuuamshe huo uzi mkuu ili na sisi tufarijiane maana kundi letu najua ndio tuko wengi zaidi...Uzi siupendi huu! Umekaa kujuana juana Tuu...Ndio maana niliweka uzi wangu Tusiojulikana ukafutwa hapa,hii changamoto isipoangaliwa hapa nayo ni jipu haki nawaambia humu kuna makundi.
Kwani ukishajulikana unafaidika nini? Ni vizuri kuangalia nyuzi kuliko mtu,kufanya watu fulani muhimu kuliko wengineHahaha mkuu inachukua miaka mingi sana kutengeza jina lako hapa na ukajulikana. Vingenevyo act kama @kidukulilo utajulikana fasta tu..
Wataufuta tuu! Maana hatujulikani...Itabidi tuuamshe huo uzi mkuu ili na sisi tufarijiane maana kundi letu najua ndio tuko wengi zaidi...
Umenikumbusha mbali sana rafiki. Lol
Labda. Maana cha maana anachoandikaga hakuna siku hizi labda zamani.Kikubwa nyota mkuu...
Hivi mleta Mada na members wengine mko serious kwamba Mimi sifahamiki humu kwakweli mmeniudhi Sana yani sipo kwenye list yoyote hata sub!!
.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu Uzi umenifanya nijisikie vibaya
Wivu gani mtu anaandikaga ujinga ujinga tu.Acha wivu mkuu....[emoji23][emoji23]
😀😀 ilikuwa balaa.Enzi hizo ukizoeana na mtu ugomvi unazuka mtaa wa saba