First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Uzi siupendi huu! Umekaa kujuana juana Tuu...Ndio maana niliweka uzi wangu Tusiojulikana ukafutwa hapa,hii changamoto isipoangaliwa hapa nayo ni jipu haki nawaambia humu kuna makundi.
Hahaha mkuu inachukua miaka mingi sana kutengeza jina lako hapa na ukajulikana. Vingenevyo act kama @kidukulilo utajulikana fasta tu..
 
Back
Top Bottom