balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kijana ashalambishwa ngololo na tumemalizana naye,jana amerwpot kambini.R
Afael Daudi kimeeleweka?
Kivule nimekuelewa vizuriMkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
Oscar Joshua mmemuacha?Kama bado ni wenu mpelekeni sehemu akacheze kwa mkopo.Mnamuua zaidi....Anakuja Gadiel Michael mkuu yule dogo WA Azam so usikonde.
Hapo nimekuelewa Mkuu kumbe mmoja anakaa reserve. Kwa mtazamo wangu naona himid Mao wakifanikiwa kumpata atakuwa dawa pale kati.Hapana mkuu yule mkongoman ilikua Ni lazima tumchukue ili tuwe na visiki viwili vya maana,in case mmoja akiumia tunakua bado na chuma kingine.
Hivi gadiel Michael hakwenda Yanga?Kweli mkuu, yanga wanapaswa kusajili beki wa kushoto atakayesaidiana na Haji Mwinyi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado mkuu! Dogo anamkataba na azam ambao bado haujaisha! Kama vipi viongozi wazungumze na azam tumchukue dogo!
To be honest ,Niyonzima tumepoteza mchezaji mzuri sana, yaani nionzima timu iwe imeshashinda kama mbili hivi, anavyouchezea mpira, ila basi