First eleven yangu ya Yanga 2017-18

First eleven yangu ya Yanga 2017-18

Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
Kivule nimekuelewa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
60e4f99944b26cfddeefdd2f6fc3da5d.jpg
Kiungo Fundi mwenye magoli mengi na assist za kutosha kuliko viungo wote waliocheza ligi ya msimu uliopita,akiwa mazoezini Morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be honest ,Niyonzima tumepoteza mchezaji mzuri sana, yaani nionzima timu iwe imeshashinda kama mbili hivi, anavyouchezea mpira, ila basi
 
To be honest ,Niyonzima tumepoteza mchezaji mzuri sana, yaani nionzima timu iwe imeshashinda kama mbili hivi, anavyouchezea mpira, ila basi

Ni jambo la hatari sana kulazimisha mapenzi. Kama una akili timamu utamng'ang'aniaje asiyekupenda? Walikuwepo viungo machachari kama Issa Athuman, Athuman China, Charles Bonifas Mkwasa na wengine wengi tu, lakini leo hawapo tena na bado yanga inachukuwa vMakombe. Niyonzima ni mchezaji mzuri lakini kuondoka kwake kamwe haiwezi kuwa ni sababu ya yanga kukosa kukosa mafanikio. Furaha itaendelea ndani ya Yanga. Kuwa muelewa MKUU.
 
Back
Top Bottom