Sijui ni usingizi wangu, ngoja nitairudia Alfajiri na mapemaUkiwaa partner wa mwanasiasa inabidi ujifunze kuwa na tabasamu la bandia mbele ya camera. Hata kama mligombana usiku kucha.
Sasa bibie yule kama la siku wanaajitikeza wanawake wenye madai ya kulazimishwa kufanya ngono na Trump. Kwakweli ninajiweka kwenye miguu yake hata nafasi ya fake smile huioni.
Taswira anayomjengea ni kama vile na yeye ni wa kutoka kwenye danguro
Unamaanisha Prince Harry pia ameingia cha kike?of course, hana tofauti na walioko huko. given her background too.
Sijui sana, lakini sijawahi kuwaamini sana wanamitindo, wanamziki, waigizaji - kwa kifupi niseme wasanii. Huwa wana sanii mpaka maisha yao wenyewe
Stori za 2006-2007 Melania alipokuwa ametoka tu kujifungua.Wanafanyanaye jumba jeupe au walifanya naye kabla au ni gani?
by the way, mke wa pili huwa hana wivu sana
Ukiwaa partner wa mwanasiasa inabidi ujifunze kuwa na tabasamu la bandia mbele ya camera. Hata kama mligombana usiku kucha.
Sasa bibie yule kama kila siku wanajitokeza wanawake wenye madai ya kulazimishwa kufanya ngono na Trump. Kwakweli ninajiweka kwenye miguu yake hata nafasi ya fake smile huioni.
...Ila mama jesca ndio mvumilivu wa kweli tuache uongo jaman mwee!
Unaijua a.k.a ya Trump ya enzi hzo? Walimuita Ladies' man, Melania ni Mke wa tatu wa Trump anamjua vzur kuwa jamaa ana penda totoz na ana hela lazma totoz ata zipata tuu. Japo ndio story zina mdisturb ila anapswa kuvumilia ndio siasa hzo.
Nawaamini wanao sema walilala naye kwa hiari, wanao sema walilazimishwa wale ni waongo tuu.
Pia ukimuita Melania mvumilivu,
Utamuongeleaje Hillary Clinton ambaye mme wake alimcheat akiwa Rais, tena ali pigia tukio kwenye ofis ya rais na Monica? Wacha hizi stori za Trump za miaka 11 ilo pita..
Stori za 2006-2007 Melania alipokuwa ametoka tu kujifungua.
Inaonekana kibaba Trump alikuwa ana fanya yake na Porn stars.
Hiyo sentensi ya mwisho sasa[emoji23][emoji23]bokasa atakitafuta shauri yakoUnaijua a.k.a ya Trump ya enzi hzo? Walimuita Ladies' man, Melania ni Mke wa tatu wa Trump anamjua vzur kuwa jamaa ana penda totoz na ana hela lazma totoz ata zipata tuu. Japo ndio story zina mdisturb ila anapswa kuvumilia ndio siasa hzo.
Nawaamini wanao sema walilala naye kwa hiari, wanao sema walilazimishwa wale ni waongo tuu.
Pia ukimuita Melania mvumilivu,
Utamuongeleaje Hillary Clinton ambaye mme wake alimcheat akiwa Rais, tena ali pigia tukio kwenye ofis ya rais na Monica? Wacha hizi stori za Trump za miaka 11 ilo pita.
Melania pia, sidhani kama hata ana mpenda Trump basi kihiivoo, bibi alikuwa ameolewa na pesa tu pale. So hata umia kwa kuwa alisalitiwa ila kwa kwakuwa ni kama anaibishwa, anajua kuwa Trump ni tabia yake hiyo kupenda wanawake tho.
Ila mama jesca ndio mvumilivu wa kweli tuache uongo jaman mwee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unataka kuanza kupata virungu vya April 26 mapemaa, shauri lako!
[emoji28] [emoji23] [emoji23]
Kennedy hakuwa ana cheat tuu he was a serial womanizer, yaan mpaka CIA na FBI walikuwa wana mwambia mzee ounguza una hatarisha taifa.Iceman, ni kweli Clinton na hata Kennedy walicheat lakini ona watu walio cheat nao, na hawa alio cheat nao Trump
By the way uliangalia Interview ya Stormy?!, did you see how she went in details about what she did with him?!
Hahahah
HahahahYaani huyu mama kwa kweli anapita mapito si mchezo. Halafu ukizingatia U first lady alikuwa hata hana mpango nao, na hata mambo ya siasa kwa ujumla.
Halafu leo hii anasikia mzee aliingiza porn star mpaka chumbani kwao wakati yeye bado ananyonyesha..
HahahahaHiyo sentensi ya mwisho sasa[emoji23][emoji23]bokasa atakitafuta shauri yako