Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ukiwaa partner wa mwanasiasa inabidi ujifunze kuwa na tabasamu la bandia mbele ya camera. Hata kama mligombana usiku kucha.
Sasa bibie yule kama kila siku wanajitokeza wanawake wenye madai ya kulazimishwa kufanya ngono na Trump. Kwakweli ninajiweka kwenye miguu yake hata nafasi ya fake smile huioni.