First Lady anaestahili pongezi ni Melaine Trump

Kennedy hakuwa ana cheat tuu he was a serial womanizer, yaan mpaka CIA na FBI walikuwa wana mwambia mzee ounguza una hatarisha taifa.

Niskudanganye Stormy hata akija saihiz mi natembea naye, she was good those days na.Donald alikuwa mtu wa kwenye entertinement at least hakuwa kwenye Tittle ya Rais kama alivo kuwa Clinton. Hii namtetea the donald hapa.

Skuangalia maana nilijua sitapata lolote jipya. I think story ya mahusiano ni ya kweli, ila ile ya kutishiwa ni uongo mtupuu.

Hahahah ila Trump wame mkamiaa mwaka huu.

Haki wewe, yaani hautajivunga kwa Stormy sio! [emoji3] [emoji28]

Sawa bwana, lakini kusema kweli she kept herself good, kama anaonekana hivi sasa am sure she turned multiple heads ten years ago! [emoji2]

Kumbe Kennedy ilibidi mpaka Intelligence community waingilie kati jinsi alikuwa womanizer?!!
Jamani mbona halafu Jack K. went down the history as one of the most beautiful first ladies!
Classy, Intelligent..you name it!
Nyie wanaume sijui mnatakaga nini wakati mwingine wallaah!!!
 
Hahahah
Melania was stripping for men magazines
How can a stripper feel disgraced when her husband cheated her with a porn star!!!
Akaushe kimyaaa![emoji23].

Japo Non Disclosure act ndio itawasumbua Mr Pres na Cohen.

Well those were her past days jamani.

Aliacha huko and she deserved respect..
 
Haki wewe, yaani hautajivunga kwa Stormy sio! [emoji3] [emoji28]

Sawa bwana, lakini kusema kweli she kept herself good, kama anaonekana hivi sasa am sure she turned multiple heads ten years ago! [emoji2]

Kumbe Kennedy ilibidi mpaka Intelligence community waingilie kati jinsi alikuwa womanizer?!!
Jamani mbona halafu Jack K. went down the history as one of the most beautiful first ladies!
Classy, Intelligent..you name it!
Nyie wanaume sijui mnatakaga nini wakati mwingine wallaah!!!
Yeah! She is still cool [emoji23]

Jfk alikuwa hafai, ila sasa ndio hizo ishu za wanawake zilimfanya J Edgar Hoover awe ana nguvu sana pale FBI. Jackie wasnt a saint too she also cheated. Sema kwa wakati huo haya mambo haya kuwaga big deal kwenye jamii. Ndio maana hata MLK naye alikuwa cheater ila heshima yake haikuwahi shuka.
 
..Skuangalia maana nilijua sitapata lolote jipya. I think story ya mahusiano ni ya kweli, ila ile ya kutishiwa ni uongo mtupuu.

Hahahah ila Trump wame mkamiaa mwaka huu.

Acha tu!, she went on vivid details, and that's where my point is kuwa angekuwa mwingine sidhani angesema yote yale.
But she didn't seem to hesitate.

Yaani Trump mwaka huu, kushoto kuna Stormy, kulia kuna Mueller, nyuma kuna yule ex-playmate model, mbele sijui kuna nini sasa! [emoji2]
 
Haki wewe, yaani hautajivunga kwa Stormy sio! [emoji3] [emoji28]

Sawa bwana, lakini kusema kweli she kept herself good, kama anaonekana hivi sasa am sure she turned multiple heads ten years ago! [emoji2]

Kumbe Kennedy ilibidi mpaka Intelligence community waingilie kati jinsi alikuwa womanizer?!!
Jamani mbona halafu Jack K. went down the history as one of the most beautiful first ladies!
Classy, Intelligent..you name it!
Nyie wanaume sijui mnatakaga nini wakati mwingine wallaah!!!
Wanasema ile elegance ya Jackie Kennedy aliyeweza kuifikia ni Michelle Obama. Jackie alipendwa sana na wa Marekani alichemka tu kwenda kuolewa na Mgiriki na kuitwa Jackie Onassis
 
Acha tu!, she went on vivid details, and that's where my point is kuwa angekuwa mwingine sidhani angesema yote yale.
But she didn't seem to hesitate.

Yaani Trump mwaka huu, kushoti kuna Stormy, kulia kuna Mueller, nyuma kuna yule ex-playmate model, mbele sijui kuna nini sasa! [emoji2]
[emoji23] she is a porn star kwa nn asiwe vivid.
Ila sidhani kama ile interview ilikuwa that much explosive.
Mwisho ita muacha anaye mpenda Trump aseme hakukuwa na llte jipya na aso mpenda afanye overreaction

Ndio kuwa rais kulivo, every mistake in yoyr life will haunt you. [emoji1]
 
Yeah! She is still cool [emoji23]

Jfk alikuwa hafai, ila sasa ndio hizo ishu za wanawake zilimfanya J Edgar Hoover awe ana nguvu sana pale FBI. Jackie wasnt a saint too she also cheated. Sema kwa wakati huo haya mambo haya kuwaga big deal kwenye jamii. Ndio maana hata MLK naye alikuwa cheater ila heshima yake haikuwahi shuka.

Hivi ni kweli kuwa Jackie alitoka na Secret Service?!, au mwingine?

Usikute it was out of frustrations from John. Lakini na yeye alipita haswa with the Kennedy family on top of their family tragedies. Unless kama alitulia after her second marriage.
 
Hahaha
The media, halaf hawa wanawake wakiongea kama hivi wanapata madili mengi na media attention.

Sema kwa wanaompenda Trump hizi habar hata hawana shida nazo yaani

Sana, Melania sasa atakuwa popular kuliko hata Rais.
Na hashindwi kum mwaga Trump akimaliza kazi ya U first lady! [emoji2]
 
First ladies huwa wanakuwa popular kuliko their husbands because they do nothing. Na wale walio jichanganya kufanya llte lenye impact ya kisiasa kama Hillary Clinton hawakupendwa kabsaa.
Betty Ford alipendwa mnoo japo The President didnt even win his own term na walikaa ikulu just ove 850 days.

So Melani mpaka sasa anapendwa na watu wana muonea huruma pia. (Hata mimi nampenda [emoji23])
 
Hivi ni kweli kuwa Jackie alitoka na Secret Service?!, au mwingine?

Usikute it was out of frustrations from John. Lakini na yeye alipita haswa with the Kennedy family on top of their family tragedies. Unless kama alitulia after her second marriage.
Jackie alilala na Onassis mumewake akiwa rais, alikwenda Greece bila mume wake na Kennedy alihudhuria yatatokea. Aliwaonya walinzi wasimruhusu Jackie kuingia kwenye Yatchie ya Onassis lakini ilishindikana na mzigo uliliwa.

Kibaya zaidi alikubali kuolewa na Onassis baada ya John kufariki
 
Wanasema ile elegance ya Jackie Kennedy aliyeweza kuifikia ni Michelle Obama. Jackie alipendwa sana na wa Marekani alichemka tu kwenda kuolewa na Mgiriki na kuitwa Jackie Onassis

Yaani ile Elegance si mchezo aseh!
Halafu she was fluent in French too na their first trip to Europe, She, became the talk of town.
Lakini at least aliolewa na mtu mwenye jina.

Michelle nae ka represent kwa kweli.
She did her best as the first black first lady. [emoji106]
 
First ladies huwa wanakuwa popular kuliko their husbands because they do nothing. Na wale walio jichanganya kufanya llte lenye impact ya kisiasa kama Hillary Clinton hawakupendwa kabsaa.
Betty Ford alipendwa mnoo japo The President didnt even win his own term na walikaa ikulu just ove 850 days.

So Melani mpaka sasa anapendwa na watu wana muonea huruma pia. (Hata mimi nampenda [emoji23])
Melaine has the beauty hata mimi ninampenda. Laura Bush alikuwa mama wa nyumbani design
 
Yaani ile Elegance si mchezo aseh!
Halafu she was fluent in French too na their first trip to Europe, She, became the talk of town.
Michelle nae ka represent kwa kweli.
She did her best as the first black first lady. [emoji106]
Pamoja na haters kumwandika vibaya kwenye media kutokana na rangi yake Michelle had a classy. Jackie alitoka kwenye elite family, alikuwa na exposure na kwa wakati ule alikuwa msomi
 
First ladies huwa wanakuwa popular kuliko their husbands because they do nothing. Na wale walio jichanganya kufanya llte lenye impact ya kisiasa kama Hillary Clinton hawakupendwa kabsaa.
Betty Ford alipendwa mnoo japo The President didnt even win his own term na walikaa ikulu just ove 850 days.

So Melani mpaka sasa anapendwa na watu wana muonea huruma pia. (Hata mimi nampenda [emoji23])

Hivi sijui kwa nini ma first lady wakijichanganya sana wanakuwa unpopular.
Halafu Hillary aliweka wazi kabisa asingekuwa mama wa nyumbani wa kukaa na ku bake cookies! [emoji2]
 
Wanasema ile elegance ya Jackie Kennedy aliyeweza kuifikia ni Michelle Obama. Jackie alipendwa sana na wa Marekani alichemka tu kwenda kuolewa na Mgiriki na kuitwa Jackie Onassis
She was elegent, JFK alikuwa kwenye issue yyte ya kisiasa ana kuwa naye kwa kuwa she was a huge attraction. Kuna sku jfk alialijwa kwenye ziara official ufaransa, walivo rudi JFK akasema "i am just the man who accompanied Jackie Kennedy to France"
Watu walijaa kwenye kila event just to see
her

Aliolewa na yule jamaa ili walio kuwa wana muwinda wamwache. Kumbuka RFK alipo uwawa 1968 familia haikuwa safe anymore. She dd that for safety na to get away from any memory of jfk.
 
Hivi sijui kwa nini ma first lady wakijichanganya sana wanakuwa unpopular.
Halafu Hillary aliweka wazi kabisa asingekuwa mama wa nyumbani wa kukaa na ku bake cookies! [emoji2]
Hili tamko pia liliwaudhi mama wa nyumbani walisema “ who does she think she is”?
 
Back
Top Bottom