Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha Florence kanifurahisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama anafanana na Mama Mkapa?Namuona Mama jesca kwa mbaaali
Josephine ni wa nani mkuuKatulia yule mama, sipatii picha madam Josephine angekuwa First lady[emoji16]
Ndula ndo nini?Au Mwanamema Shein aliwahi kuvaa 'Ndula' Mguuni na Gauni
Pamoja Chief na ndo maana umeona nimeandika inasadikika huku mwishoni achana na kichwa cha makala kule juuNdugu mwandishi nafurahi umeandika makala hii lakini kuna baadhi ya ishu factually si kweli.
First lady hakumuua Harding hii ni conspiracy tuu, ina sadikika kuwa Harding alikufa kwa magonjwa ya moyo au aah ugonjwa mwengine nime usahau mpaka nika google sasa.
Kumbuka Harding alikufa na miaka 58, avarage ya kuishi kwa mwaka 1923 kwa mwanaume wa ki marekani ilikuwa ni miaka 56 na miezi kadhaa.
Pia Rais Harding alikuwa mgonjwa wa muda mrefu kabla hajauwa rais. Kwa hiyo possibly wana historia wanakubaliana kuwa ni dhana isiyo kuwa na uhakika kuwa Florence alimuua.
Kuhsu uchaguzi wa 1920. Harding angeshinda kwa bamna yyte ile, japo in the long shot kweli ilikuwa ni vigumu kumtabiri ila soon after the conventions ilijulikana lazima angeshinda.
Na alishinda kwa kishindo.
Florence na Harding wasinge elewana saana kwa kuwa Harding alikuwa womanizer mkubwaa.
But mengine umeniongezea elim
Shukran sana.
Ahsante historia ya Harding iko interesting sanaPamoja Chief na ndo maana umeona nimeandika inasadikika huku mwishoni achana na kichwa cha makala kule juu
Ukifa leo kiutata sio lazima familia yako ikubali mwili kufanyiwa uchunguzi wanakataa na serikali inaruhusu uzikwe alikataa kama mkewe na si first ladyAhsante
Ila sidhani Kama First Lady anaweza zuia uchunguzi wa mwili wa Rais aliyefariki kifo chenye kutoa Shaka!
Harding aliongoza hovyo sana na uongozi wake ulijaa skendo si mtu ambaye wanajivunia sana kwenye historia yao. Huwa wana muweka kwenye list ya marais wabovu na kina george bush huko.Ni kweli mkuu na sijui kwa nini wamarekani huwa mara nyingi hawamtaji huyo jamaa japo aliwaongoza
Ok ahsante chief ngoja nimtafute Calvin nione uongozi wake ulikuwa vipi ahsante kwa hiloHarding aliongoza hovyo sana na uongozi wake ulijaa skendo si mtu ambaye wanajivunia sana kwenye historia yao. Huwa wana muweka kwenye list ya marais wabovu na kina george bush huko.
Mrithi wake Calvin Coolidge ndio alikuwa vizuri na historia inampenda
Sawa mtafute mimi huwa nadhani Coolidge walikuwa ndio wake Classical presidents.Ok ahsante chief ngoja nimtafute Calvin nione uongozi wake ulikuwa vipi ahsante kwa hilo
Uliuona ule uzi wenu wa "wanaume kutamani wanawake wenye m.akalio makubwa lakini hawayatumii?"Naamini uyo mwanamke hakuwa na chura