First lady mtata aliyempeleka puta Rais wa Marekani kisha kumuua

labda sheria za kipindi hicho zilikua zinaruhusu,huwezi jua
 
Kwa hapa bongo mke wa Mwinyi ndo anaweza kuwa kama huyo....mpaka ikafika pahala akamkosanisha mwinyi na mkuu wake wa majeshi...ndipo nyerere akamwambia nchi haiwezi kuongozwa na mke wake
Hebu funguka zaid,au fungua thread Mkuu
 
Salma hawezi mfikia Mke wa Mwinyi au Anna Mkapa
 
Nafikiri uhusika au mchango wa first lady katika nchi unatoa picha kamili ya namna ya ushirikishwaji wake katika mambo ya kifamilia pia.

Hii ni kutokana na tafiti mbali mbali nilizozifanya maktaba.
 
Mtu ambae ndio angekuja Kutamba na Sifa kibao ni Regina Lowasa huyo mwanamama angesumbua sana, Bora tu tuko Bi Jannete magufuli First lady asie na makuu
 
Historia ya Harding imenitia nguvu Katika ndoto zangu za kugombea Urais 2025
 
Haaahaaa.... that ended up before the dawn
 

Hata First Lady mama Siti alikula bata sana.

Wahenga wanakumbuka mambo ya stela artoi(akitoa kalewa).

Mpaka mwalimu aliwahi kusema nchi inaendeshwa na mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…