First Post Africa: Tanzania yatupa kwa siri miili ya raia waliofariki kwenye maandamano ya kupinga Uchaguzi

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Hata afanyeje huyu, dunia itajua tu

=================================

Tanzania imekosolewa kimataifa baada ya upinzani kuishutumu serikali kwa “kutupa kwa siri miili ya waandamanaji” waliouawa wakati wa vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi.

Wakati wa Uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 29, kulitokea maandamano Dar es Salaam na miji mingine kupinga madai ya udanganyifu wa kura.

Chama cha upinzani CHADEMA kimedai watu zaidi ya 800 wameuawa, huku Rais Samia Suluhu Hassan akilaumu raia wa kigeni.

Shirika la Human Rights Watch limelaani vifo hivyo vilivyotokea wakati wa maandamano baada ya kuripotiwa kwa matumizi makubwa ya nguvu na kuzimwa kwa intaneti, likiitaka serikali kuwajibika.

Aidha waangalizi kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) nao wamesema uchaguzi huo haukukidhi viwango vya kidemokrasia.

===================================

Tanzania faces global outrage after the opposition accuses security forces of "secretly dumping the bodies" of protesters killed during post-election violence.

Following the disputed presidential polls on October 29, demonstrations erupted across Dar es Salaam and other cities over alleged vote rigging. Opposition party CHADEMA claims more than 800 people were killed, while President Samia Suluhu Hassan blames foreign interference.

Human Rights Watch condemned the deaths during protests after reported excessive use of force and internet blackouts, urging accountability.

Observers from the Southern African Development Community also stated the election fell short of democratic standards, intensifying pressure on the Tanzanian government.

Source: FirstPost Africa

Wametupwa wapi tukatafute ndugu zetu?
 
Back
Top Bottom