gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Upinzani siyo chadema tu,chaumma siyo chama tawalaMkuu uchaguzi huu kulikua na wapinzani?
Upinzani siyo chadema tu,chaumma siyo chama tawalaMkuu uchaguzi huu kulikua na wapinzani?
Hapana. Kulikuwa na CCM pekee. Na hapa ndipo anguko la Chadema lilipoanzia, kujiona nyie ni "last born" hivyo mna Haki zaidi kuliko wengine.Mkuu uchaguzi huu kulikua na wapinzani?
hivi wewe ni kvma aina gani?Nimeishia hapo aliposema uchaguzi bila upinzani, nikajua huyu ni muhuni tu aliyepekekewa habari aisome bila kujua anachokisena
Si ndio raha CHADEMA ikifa?Hapana. Kulikuwa na CCM pekee. Na hapa ndipo anguko la Chadema lilipoanzia, kujiona nyie ni "last born" hivyo mna Haki zaidi kuliko wengine.
Siasa ni mchezo wa haramu tu na hivyo, ukisusia wengine ndio wanafurahia. Kwa mao I yangu, Chadema ingeshiriki uchaguzi huu kungekuwa na impact na chachu ya mabadiliko makubwa sana kuliko ilivyoamua kutoshiriki. Kwa kifupi, CCM kichwa kingewaka moto hata kama "wangeshinda". Hata attention ya kimataifa ingekuwa kubwa. Kama si maandamano, uchaguzi huu ungekuwa umepita kimyaà, hata Al Jazeera wasingeutangaza.
Aliyeshauri Chadema isishiriki uchaguzi amekiua chama.
Yaani ni bora mara laki moja Cdm hawakushirikiHapana. Kulikuwa na CCM pekee. Na hapa ndipo anguko la Chadema lilipoanzia, kujiona nyie ni "last born" hivyo mna Haki zaidi kuliko wengine.
Siasa ni mchezo wa haramu tu na hivyo, ukisusia wengine ndio wanafurahia. Kwa mao I yangu, Chadema ingeshiriki uchaguzi huu kungekuwa na impact na chachu ya mabadiliko makubwa sana kuliko ilivyoamua kutoshiriki. Kwa kifupi, CCM kichwa kingewaka moto hata kama "wangeshinda". Hata attention ya kimataifa ingekuwa kubwa. Kama si maandamano, uchaguzi huu ungekuwa umepita kimyaà, hata Al Jazeera wasingeutangaza.
Aliyeshauri Chadema isishiriki uchaguzi amekiua chama.
Yes, kwa namna Chadema ilivyojengeka na kushindwa kujirekebisha, ni bora ife halafu kipatikane chama kingine chenye itikadi na misingi ya kitaifa kiasi cha kutufanya jamii ya kitanzania kuipa dhamana mbadala wa CCM. Kwa Chadema hii, bora CCM pamoja na ubovu wake uendelee kututawala tu.Si ndio raha CHADEMA ikifa?
Kila mtu na mtizamo wake ila kingeshiriki kingeleta impact zaidi ya mabadiliko kuliko ilivyoacha kushiriki.Yaani ni bora mara laki moja Cdm hawakushiriki
Binafsi nimeziangalia zote na nitaendelea angalia ili nisiwe na huruma na ccm, na vyombo vyote vya usalamaM
Mi nimeshindwa kuziangalia hadi mwisho wallah inauma jamani siamini macho yangu
Yes, ni mtazamo wako lakini jua ni ujingq sana kushiriki uchaguzi ambao chama tawala ndiyo kinapanga wapi ushinde na wapi usishinde. Huko siyo uchaguzi mkuuKila mtu na mtizamo wake ila kingeshiriki kingeleta impact zaidi ya mabadiliko kuliko ilivyoacha kushiriki.
Maku kweli ww!kwani hukuwaona kina mwajuma, mluya, mwalimu, semandito, kinje, ambar, kibonde, busungu, doyo? Unaambiwa hao ndio wapinzani! Unataka wapinzani gani tena, kina zito?
Hata kama unafaidika na pesa halamu za CCM, hata kama unafaidika kwa cheo katika serikali hii ya SAMIA.Please tumia akili kidogo na Elimu ndogo hiyo hiyo kujua kuwa hapakuwa na upinzania kwenye uchaguzi mkuu. Bali vile vyama vilikuwa ni sehemu yenuNimeishia hapo aliposema uchaguzi bila upinzani, nikajua huyu ni muhuni tu aliyepekekewa habari aisome bila kujua anachokisena
mbona unatukana aisee! Sitakagi ligi ya matusi kipindi hiki cha post general election. Mambo ni mengi mjuba sina muda wa kujibu matusi yakoMaku kweli ww!
Yagangwe yajayo!
Shida yenu ni hiyo nyie Chadema kujiona ndio wapinzani wa kweli. Heshimuni na wengine piaHata kama unafaidika na pesa halamu za CCM, hata kama unafaidika kwa cheo katika serikali hii ya SAMIA.Please tumia akili kidogo na Elimu ndogo hiyo hiyo kujua kuwa hapakuwa na upinzania kwenye uchaguzi mkuu. Bali vile vyama vilikuwa ni sehemu yenu