First Post Africa: Tanzania yatupa kwa siri miili ya raia waliofariki kwenye maandamano ya kupinga Uchaguzi

Mkuu uchaguzi huu kulikua na wapinzani?
Hapana. Kulikuwa na CCM pekee. Na hapa ndipo anguko la Chadema lilipoanzia, kujiona nyie ni "last born" hivyo mna Haki zaidi kuliko wengine.

Siasa ni mchezo wa haramu tu na hivyo, ukisusia wengine ndio wanafurahia. Kwa mao I yangu, Chadema ingeshiriki uchaguzi huu kungekuwa na impact na chachu ya mabadiliko makubwa sana kuliko ilivyoamua kutoshiriki. Kwa kifupi, CCM kichwa kingewaka moto hata kama "wangeshinda". Hata attention ya kimataifa ingekuwa kubwa. Kama si maandamano, uchaguzi huu ungekuwa umepita kimyaà, hata Al Jazeera wasingeutangaza.

Aliyeshauri Chadema isishiriki uchaguzi amekiua chama.
 
Si ndio raha CHADEMA ikifa?
 
Yaani ni bora mara laki moja Cdm hawakushiriki
 
Si ndio raha CHADEMA ikifa?
Yes, kwa namna Chadema ilivyojengeka na kushindwa kujirekebisha, ni bora ife halafu kipatikane chama kingine chenye itikadi na misingi ya kitaifa kiasi cha kutufanya jamii ya kitanzania kuipa dhamana mbadala wa CCM. Kwa Chadema hii, bora CCM pamoja na ubovu wake uendelee kututawala tu.

Chadema ina matatizo mengi kuizidi CCM, kuanzia ulafi, udini, ukanda, ukabila, ujuaji, uwanaharakati nk nk.
 
M

Mi nimeshindwa kuziangalia hadi mwisho wallah inauma jamani siamini macho yangu
Binafsi nimeziangalia zote na nitaendelea angalia ili nisiwe na huruma na ccm, na vyombo vyote vya usalama
 
Sijawi kuona aisee yaani fedha na Mali, cheo zinafaa kuliko uhai wa wananchi wako? Hata madiwani na wabunge waliochaguliwa wanalaana. Mwenye akili ajiuzulu mapema maana kinachokuja ni catastrophe
 
Nimeishia hapo aliposema uchaguzi bila upinzani, nikajua huyu ni muhuni tu aliyepekekewa habari aisome bila kujua anachokisena
Hata kama unafaidika na pesa halamu za CCM, hata kama unafaidika kwa cheo katika serikali hii ya SAMIA.Please tumia akili kidogo na Elimu ndogo hiyo hiyo kujua kuwa hapakuwa na upinzania kwenye uchaguzi mkuu. Bali vile vyama vilikuwa ni sehemu yenu
 
Al jazeera ndio wana kila kitu, kama wanafikiria al jazeera kama clouds media waende kule
 
Mimi ndugu yqngu alipigwa risasi akafarik Dar es Salaam mitaa ya magomeni kagera.
Baadhi ya ndugu toka Morogoro walienda Dar kuuchukua mwili kwa ajili ya mazishi wamefuatilia mwili muhimbili hadi wamechoka,wakaamua warudi Morogoro kumalizia msiba.
 
Hata kama unafaidika na pesa halamu za CCM, hata kama unafaidika kwa cheo katika serikali hii ya SAMIA.Please tumia akili kidogo na Elimu ndogo hiyo hiyo kujua kuwa hapakuwa na upinzania kwenye uchaguzi mkuu. Bali vile vyama vilikuwa ni sehemu yenu
Shida yenu ni hiyo nyie Chadema kujiona ndio wapinzani wa kweli. Heshimuni na wengine pia
 
Back
Top Bottom