Ahsante sana ubarikiweChuo Kuna mengii.......
Jitahdii kusoma kwa bidii, fanya assignment, hudhuria vipind, fanya test na ue, accordingly km huna sababu ya special.
Tengeneza network nzurii na marafk, ukiwa chuon itakusaidia mbelen.....
Kufurahia maisha napo sio mbaya usijitese kisa upo chuo.... Kuwa na mipaka tuu.
Salii au amini ktk unachoaminii.....
Usome ufaulu sup sio nzurii..... Mdg angu
Karibu..... Haina nouma mshuaAhsante sana ubarikiwe
Sio kweli mkuu wapo wanaoendelea freshi kabisa ni wachache tu unakuta wamezinguaKwahy story ni zile zile kila waliokua vipanga wakienda chuo wanaanguka
Ndo wapii Teku?Kwa hiyo hata wale wa Teku nao wanataka ushauri?