Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 447
- 231
Hii tabia ya mtu kukubali kukubeba mkiwa home mkoan afu akifika chuo anapata tamaa afu anabadilika sio nzuri haiezekan mtu umemsaidia mambo mengi kila cku unanunua mb ili achek mambo yake ikiwezekana unamuazima hadi pc afu akija dar akikutana na mtu anayetaka kumbeba na kumlipa hela zaid anakusahau ww ukipiga cm hapokei huu ni ushamba hata cc tulikua freshers na wala hatukuwa na tamaa ya boom la room. Mnaboa sana kama hutaki bora umwambie mtu mapema na wala sio kumchelewesha mpaka chuo kinafungua eti ohhhh sijui nn... Acheni USHAMBA
Pesa,pesa plus tamaa.
Dogo nimemsisitiza sana akipata chumba anipe taarifa ,maana nimemtafutia Mtu hapo chuo,lakini kafanya kinyume.....
Nilipata mtu wa kumsaidia kufuatilia Bodi ya Mikopo na jamaa kamuangaikia sana mpaka nimeweza pata namba ya afisa mikopo . Kanichanganya sana
sijui nimpooze vp kijana wa Watu.
Naitafuta adhabu ya kumpa huyu kijana siioni ni kama nitamtesa.
Aaaaaah
paparazi.Bro Activister....
Kama vile sijakuelewa fresh..
Labda utueleweshe vizuri,tupate darasa 1st yr
Yani umempiga kik huyo dogo lako, halafu akakuchanganya...??
Baada ya kukuchanganya, unataka kumpooza...?
Baada ya kumpooza,unamtafutia adhabu...?
Baada ya kumpa adhabu utaona kama umemtesa...??
paparazi.
Nina mdogo wangu kiujumla nimempa sapoti sana kwenye masomo.
Kakosa mkopo nimejikusanya nimuwezeshe apate hiyo Elimu kama vijana wenzake(Nilikuwa na uwezo wa kumwambia asubiri mwaka).
Katika harakati za kuona ni jinsi gani anaweza pata huo mkopo nilimtumia kijana Mwenzake Yupo hapo Udsm,kwa Ahadi ya kubebwa ila atalipa semester moja.
Kiujumla kijana wa watu kanifanikishia mengi kiasi kwamba nimeweza pata contact ya mtu wa mikopo tena Allocation kabisa.
Dogo nilimwambia akipangiwa tu rum anipe taarifa kuna mtu nita muunganisha naye,amsaidie kwa muda atakao kuwepo Hapo chuo.
Ajabu na cha kushangaza Kijana kajifanya yeye ni Mjanja zaidi ananiambia kuna mtu kampa pesa tayari!!!
Sasa huyu kijana mwenzio hajani dhalilisha hapa!???
Sasa hata hiyo pesa aliyopokea atakula Miaka yote 4 hapo chuo?
Adhabu niliyofikiria kumpa ni kumwa atumie pesa ya kubwebwa kwa semister yote,labda anitafute semester ya pili.
Sasa humu atakusikia?ungemwambia tu live!
Daaa dogo kazingua kinoma hapo...!!
Mkalishe chini, umrudishe kiumeni huyo kinda, bado hajayajua maisha.. hapo aache thiatha,arudishe hizo pesa alizopewa na huyo jamaa...
Nimefanya hivyo.
Hapa ni jf siyo Fb,pia najua ni memba hapa maana maelezo yake yanafanana na bandiko moja lipo hapa Jamvini, ni kuanzia Hall aliyopangiwa,floor,rum na block.
Ila vijana jifunzeni kuwa waungwana .
Mimi nilibeba na kubwebwa BURE KABISA.....
Na kijana niliye mbeba kanipa sapoti kubwa kwenye Shughuli zangu za hapa na pale.
Pesa isiondoe UTU WAKO.
Ila imeniuma sana.
acha ungese wewe kbaka,ulitaka kumfanya biashara mchz? Kakufanya kweli manina.
pole sana ulidhani 2nakuwa mafala daima? Mbona ulipokuwa ukipewa za vocha ulikuwa unapokea? Chizi kweli wewe me nimeuza tena pei nzuri kilo 3 kash na semister kalipaaa sio hapa mnajishebedua shebedua 2.
madogo ushambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, jamani ukielewana na ntu msizingue wadogo zangu, afu msikatae kubeba kama hujapata mtu. maisha ndo yaendavyo UDSM. zamu kwa zamu kama ninyi mtakavokuwa mwaka 2. afterall nashukuru mungu nimemaliza kha! taaaaaaaaaaaaaaaabu kweli kweli
tata mvoni....Mkuu we kweli muimba taarab duh!?
Pesa,pesa plus tamaa.
Dogo nimemsisitiza sana akipata chumba anipe taarifa ,maana nimemtafutia Mtu hapo chuo,lakini kafanya kinyume.....
Nilipata mtu wa kumsaidia kufuatilia Bodi ya Mikopo na jamaa kamuangaikia sana mpaka nimeweza pata namba ya afisa mikopo . Kanichanganya sana
sijui nimpooze vp kijana wa Watu.
Naitafuta adhabu ya kumpa huyu kijana siioni ni kama nitamtesa.
Aaaaaah
Nimesoma hii thread kama mara 5, ndio nimewlewa nini kinaongelewa....
Bro Hansy,
Pole sana kama kuna dogo amekulipa ubaya kwa hizo fadhila ulizompa,
Akumbuke dunia duara, a normal being can't enjoy periods of grace all times around, starvation 'll come na atakurudia umpe chochote kitu, hapa ndipo atakapoumbuka..
Piga moyo konde, its still to early to say nmechengana na rum, just make some stepa ahead you'll find somewhere else to land....
Nahisi 1st yr wengine wa UD wameelewa somo...