Hansy wa East
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 447
- 231
Hii tabia ya mtu kukubali kukubeba mkiwa home mkoan afu akifika chuo anapata tamaa afu anabadilika sio nzuri haiezekan mtu umemsaidia mambo mengi kila cku unanunua mb ili achek mambo yake ikiwezekana unamuazima hadi pc afu akija dar akikutana na mtu anayetaka kumbeba na kumlipa hela zaid anakusahau ww ukipiga cm hapokei huu ni ushamba hata cc tulikua freshers na wala hatukuwa na tamaa ya boom la room. Mnaboa sana kama hutaki bora umwambie mtu mapema na wala sio kumchelewesha mpaka chuo kinafungua eti ohhhh sijui nn... Acheni USHAMBA