mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
he he heeeee ntapiga msosi wanguvu we acha tu
unazungumzia kwa yule wa asilimia mia au
WANAONA nyingiiiii subiri watarudi jamviniAcheni kutiana ujinga nyie...! kwa hiyo mnawaza kuingia chuo ili mpate hela..mtaona kama hizo hela zitakutosheni wenzenu wanalia hawana hela huku boom limekata halafu wewe unawaza kufanyia ujinga!!! wazeni kusoma!! kweli watanzania bado sanah
hawajui kama hela za bodi ya mikopo zina chuma ulete!!
hawajui kama hela za bodi ya mikopo zina chuma ulete!!