First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi"

First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi"

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
du ukiingia tu unapewa 702,500.00 Shilingi laki saba na elfu mbili na mia tatu. mi nakwambiaje hata wadogo zako wa shule za kata utawasomesha,utanunua ni vijiunga vya ugali upeleke home. uwezi watupa home, mana hali ya maisha ni ngumu.BOOM is BOOM. maisha bora kwa kila mwanafunzi/ usitafute demu, watamaliza zote, mana nywele tu za kimasai kusuka 15000 na kila baada ya siku 3. saluni almost kila siku. skin jeans shoping kila jmos. msosi wao chips mayai, kuku. simu anataka blackberry. waambie wazazi kijijini wakutafutie mke.
 
he he heeeee ntapiga msosi wanguvu we acha tu
Food-2.jpg
 
wewe unasoma chuo gani iyo hela siyo iyo ni nyingi sana asee ni kama laki sita na kitu iviiii
 
Acheni kutiana ujinga nyie...! kwa hiyo mnawaza kuingia chuo ili mpate hela..mtaona kama hizo hela zitakutosheni wenzenu wanalia hawana hela huku boom limekata halafu wewe unawaza kufanyia ujinga!!! wazeni kusoma!! kweli watanzania bado sanah
 
Acheni kutiana ujinga nyie...! kwa hiyo mnawaza kuingia chuo ili mpate hela..mtaona kama hizo hela zitakutosheni wenzenu wanalia hawana hela huku boom limekata halafu wewe unawaza kufanyia ujinga!!! wazeni kusoma!! kweli watanzania bado sanah
WANAONA nyingiiiii subiri watarudi jamvini
 
ha ha ha ha!! ni kweli kaka wewe umeona wapi mtu anapewa laki 7 halafu kwa miezi miwili hela yote imeisha!! mimi nawashauri hawa wanafunzi kama wakipewa zile hela za bodi wasizichanganye na zingine maana hela za bodi hazieleweki
 
BOOM halitoshagi,hata upewe milioni ....kila mtu anapata hela at the same time...so wewe utaona unaspend kawaida tu,,,utataka flat screen,mara subwoofer,utataka uwatoe wadogo zako,ununue zawadi za home,upendeze kama wenzako,ule vizuri.....baada ya wiki 3 tu,,BOOM kwishnehi.just be organised know ur goals utafanikiwa....choose gud friends,stick with ur budget and know that umekuja mwenyewe,,,,kila mtu na mishe zake.
 
The System is Loading Your Brain Capacity, Please Wait...
 
hellow wana jamii! Mmh! though ni pesa mingi usipojipanga kwa ma2mizi zitakata hata kabla ya semista ya kwanza kuisha, so watch out!!!
 
Unga dona, maharage, water guard, mkaa gunia moja, unga wa ngano, mafuta ya kupikia, sabuni......nipo nawaza hii plan B yangu!
 
Back
Top Bottom