First year ukiingia tu chuo kiasi hkii unapewa mkononi"


hiyo lak 7 inatakiwa itumike kwa mda gan
 
duh! had raha, kwa tuliozoea "DETO" tutafaidi!
 

Inachukua muda gan kupewa hzo pesa baada ya kufungua chuo, kuna watu wanasema inaweza chukua mwez ni kweli?
 
kutokana na mwongozo toka HESLB, fedha italipwa kwa awamu awamu (quaterly), yaani, kika baada ya miezi miwili, ambayo huwa 7500(60)=450000+stationery(200000)=650000. Hii ndiyo fedha unayopata jumlisha kiwango cha ada.
 

mkuuuuuuuu najisikia huzuni na nawachukia sana mademu wa chuo kama nn vile kuna mmoja aliniambia nimpeleke mlimani city akale duuuuuuuh! Nilibadilisha laini na kwa vile tunasoma kozi tofauti ikawa imenisaidia maana mh!? Maisha
 
kutokana na mwongozo toka HESLB, fedha italipwa kwa awamu awamu (quaterly), yaani, kika baada ya miezi miwili, ambayo huwa 7500(60)=450000+stationery(200000)=650000. Hii ndiyo fedha unayopata jumlisha kiwango cha ada.

eeh bhana eeh !! Nishapata pesa ya kununulia ng'ombe wa maziwa
 
Ushauri wa bure ni kwamba tusiwazie sana starehe kwa aka kahela sana sana kwa ambao hawatapata mkopo 100%, kuwa na ma2mizi mazuri ili kiasi kingine kikubost kwenye ada.
 
kaka mziki wa vete unadhani utakumbuka hizo ki2,

aah !! Kaka hata kipindi niko o-lvl nilikuwa nasikia eti pcb,pcm,cbg ukisoma hizo kozi lazma ufulie !! But maybe itakuwa ngumu so nitajihidi kusoma ka upepo
 
Mtapewa kwa awamu mbili.Fahamuni ya kwamba hakuna fedha nyingi.Mimi nimebahatika kupata kazi ya sensa,sielewi hata fedha iliko potelea.Nime nunua kitu cha ukumbusho cha 20,000/=.
 
Maisha yamepanda sana.Kwasasa hiyo fedha sikitu.Kuna mambo mengi.
1.Stationaries
2.Msosi(menu)
3.Hostel/nyumba
4.Photocopy kila baada ya lecture
5.Voucher
6.Na mambo mengine yafananayo na hayo.
Mkipata hiyo fedha kuweni makini msijekosa fedha ya nauli mwishoni mwa semerter.
 
Jaman nafurahia hy education furom kiukwel mana mna2juza meng cc 2jao huko machuon. 10x jaman
 
tutawakalibisha tena vijana wa sensa(1st year boom) baada ya miezi 2 kuleta ushuhuda wenu wa matumizi ya boom aksanteni...
 
Mpaka uzipate hizo utakuwa una-madeni nusu au zaidi ya nusu ya hizo pesa, sasa usombe ukawa uanasoma Dar na Home ni mwanza au bukoba kmbk na nauli ni hapohapo. Ukienda kichwakichwa utalia. ndo pale mnaanza kupiga pasi za Lampard(pasi ndefu) aka U-turn
 
Kiukweli hyo hela brother hata ujibane vp garama za kimaisha zpo juu sana,sidhani kama itatosha kwa mwanafunzi,am not sure, tena kwa ushauri mzuri tu wale ndug zangu first year, ni bora uonekane mjinga kwenye kundi la wajanja for your benefit.sio mwenzako kila siku anaenda kula Leopard hotel na wewe unaiga utapotea ghafla.lingine ni hawa akna mwanayumba, yaani watazkomba zote hutaamini what happened.so kuweni makini na hyo hela,watoto wa Mama salma wanawasubiri kwa hamu kubwa sana.
 

Kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Keep dreaming don't wake up
 
tumetoka mbali jamani..............
 
Wakuu tujipange sana coz najua wengi wetu pesa kiasi hicho hatujawahi kuzimiliki hivyo pesa inatabia ya kukuyumbisha kama ww ukishindwa kuicontrol so 2jipange sana maana kuna uwezekano wa kusahau kabisa kile kinachotupeleka vyuon na kudhan 2ko picnic,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…