Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,812
- 1,373
unalog in vzur au unatumia cmu ya mkoono
nenda net ww
wewe umepata??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalog in vzur au unatumia cmu ya mkoono
nenda net ww
Teh! whatchu saying fam? U think sjajaribu icho unachonambia? And in case u din' know... haina haja ya kwenda net, (nadhani unazungumzia cafe), I've my own PCunalog in vzur au unatumia cmu ya mkoono
nenda net ww
tayari
Teh! whatchu saying fam? U think sjajaribu icho unachonambia? And in case u din' know... haina haja ya kwenda net, (nadhani unazungumzia cafe), I've my own PC
Kuna mikenge imeumbwa kukatisha wenzao Tamaa tu, kama wewe unajiona matawi ya juu nenda kasome oxford
Wale wa 2nd round TCU ambao profile zao zimeandikwa wamechaguliwa UDOM lakini still ni provisional selected wanaweza kulog in hapo na kupata hiyo admission letter?unalog in vzur au unatumia cmu ya mkoono
nenda net ww
du adi print machine unayo we kiboko
ila ckukuuliza kama una pc nilitoa tu ninavo zani
bila shaka ni uyo aliesema ana pc yake
nikweli kwann aangaike udom siiaende oxford au london princple
Hongera kama utapata tatzo lolote niulze ntakusaidia mdogo wangu.
niunganishe whatsaap 0759174122Nimechagulowa collage of earth science..GEOLOGY..
KUNA GROUP LA WATSAP FIRST YR UDOM NA WA MIAKA MIAKA MINGNE WANAKARBISHWA..WEKA NAMBA YAKO MI NTAKUUNGNISHA
WALE WA BATA TUJIANDAE
Wale wa MD mhofu mwenyeji wenu nipo hapa dom wamenipanga nyumbani
Umechaguliwa chuo cha kata umefurahi kweli ww hamnazo kabisaaaaaaa
Duh ww ndo umepotea kabisa bora ungeenda kusoma open university
admission letter vp kaka, tunazipata lini?