I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
- Thread starter
-
- #21
Niwekeeni gapi,golden fish,zebra,Blackmore etc
Green fish,silver ....
Ova
Kweli mdau. Kuna jamaa aliletaga uzi wa ndege. Niliona ndege wazuri wengi.Kuna siri nyingi sana huko bado kama binadamu hatujaweza kuzijua
Ndio mwenyewe ingawa wapo katika jamii mbalimbaliHuyu jelly fish au
Ova
Ila kuna samaki wana sura mbaya aiseee
Tupandishie sea cucumber aka jongooNdio mwenyewe ingawa wapo katika jamii mbalimbali
Huyo itakuwa ni jamii ya peragia jelly fishHuyu jelly fish au
Ova