Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate number kwa vyombo vya moto kumbe hata fisi wanaweza kuwa na mfumo huu pia! Kwa vyovyote inaonekana fisi ni muhimu sana Simiyu kwani inasemekana ndani ya muda mfupi uliopita takribani fisi 17 wameuawa na wote wana number! Je inatambulika kuwa fisi ni moja ya mifugo ya watu hawa na serikali ina mpango gani kurasimisha ufugaji wa fisi?

Huenda watu wa maeneo hayo wana technolojia kubwa ya kufuga fisi na kuweza kumtumia kwa manufaa yao kama wafanyavyo kwa mbuzi, ng'ombe, etc. Kwa vyovyote uwezo huo ni wa ajabu sana kwani fisi ni moja kati ya wanyama hatari sana kwa binadamu hata mbwa mwitu huogopa fisi! Je yawezekana watu wa Simiyu wapo mbele ya wakati kwa kuweza kufanya haya yote. Na je serikali inasema nini kuhusiana na fisi wafugwao huko Simiyu? Je serikali ichunguze na kujua maarifa gani hutumika kuweza kufuga fisi kama mbwa au kuyaendeleza maarifa hayo kufanya mambo mengine magumu kwa binadamu? Nafikiri serikali ipo nyuma ya wakati kwa hili.
 
Hao itabidi tuwape kazi maalumu ya kuwatafuna chawa wote ndani ya taifa letu.
 
Bila picha ni umbea
 
Wangekaa na serikali wakaptana halafu waangalie utaratibu wa kupata umiliki maana ni vipando vyao .
 
Halafu mbona wa kwanza ilitajwa namba yake ya usajili lakini hawa wengine tunatajiwa idadi tu, kulikoni?

Wekeni orodha ya hao fisi kwa kutaja namba zao za usajili bana acheni roho mbaya
 
Hao wamiliki wa fisi wahimizwe kutumia utaalamu wao kujikomboa kutoka kwenye umaskini. Hayo maeneo fisi walipouwawa kuna umaskini wa kutisha na mbaya zaidi kuna matukio ya watu kuliwa na fisi. Umaskini ni laana.
 
Back
Top Bottom