Fiston Mayele aipeleka DR Congo Afcon

Fiston Mayele aipeleka DR Congo Afcon

[emoji2956][emoji2956]
Huyu jamaa huwa ananishangaza sana kuwa ni kwanini katika umri mdogo hakuweza kuchezea ULAYA ?!!!

Kaliba ya uchezaji wake huikuti kwa "washambuliaji" wengi barani humu.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mambo ya riziki hayo mzee. Huoni maguire anaichezea Manchester, wakati nyoni kaishia simba tu😂
 
Back
Top Bottom