avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Najiuliza kule Afcon, wachezaji wa Mali watakuwa wanaongozwa na Diara kuja kambi ya Taifa stars kuwasalimia washkaji, naye Ki Azizi atakuwa anaesleta wabukinabe wenzake kuja kupiga stori na wabongo, Sijui Simba Wana mchezaji gani ambaye ameitwa kwenye timu ya Taifa na nchi yake imefuzu tofauti na Taifa stars?