Fiston Mayele aipeleka DR Congo Afcon

Fiston Mayele aipeleka DR Congo Afcon

Najiuliza kule Afcon, wachezaji wa Mali watakuwa wanaongozwa na Diara kuja kambi ya Taifa stars kuwasalimia washkaji, naye Ki Azizi atakuwa anaesleta wabukinabe wenzake kuja kupiga stori na wabongo, Sijui Simba Wana mchezaji gani ambaye ameitwa kwenye timu ya Taifa na nchi yake imefuzu tofauti na Taifa stars?
 
kama haufahamu kuwa INONGA ameitwa timu ya taifa basi LUC EYMAEL ALIKUWA SAHIHI.
 
Mayele ameisaidia Nchi ya DR Congo kufuzu michuano ya Afcon baada ya kuifungia bao la ushindi kwenye ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Sudani.

Hivi umeelewa ulicjoandika hapa au umelewa??

Nini maana ya goli la ushindi??

Congo hii mechi walitakiwa wadroo tu ili wafuzu hata wasingepata goli wangefuzu.

Walipata goli kipindi cha kwanza na walishafuzu tayari kabla hata ya mayele kuingia mwishoni.

Goli la mayele halina impact yoyote kwenye hii mechi sabab walishafuzu mda mrefu.
 
Labda mimi ndie ambae sielewi maana ya goli la ushindi yaani timu ishinde 2-0 halafu useme aliefunga goli la pili amefunga goli la ushindi!!? ILA ALIEWAITA UTOPOLO MBWA ALIONA MBALI.
Uko wapi kaka yangu , nipo Mbeya tafadhali je ni namba gani naweza kutuma hela ya soda kwa hii wikiendi rafiki ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
rafiki mimi nipo hapa Namabengo MKOA RUVUMA KWA BINTI NDEMBO.
Dah Mungu akubariki umeitengeneza jumapili yangu yaani kutaja ulipo nimejikuta machozi ya furaha yananitirirka sana .

Binti ndembo bado yupo ? Ukimuona mwambie kijana kutoka Chabruma camp pale mkabala na lilambo namsalimu sana .

Alinifanyia mengi sna , mara ya mwisho tuliachana pale Msamala ila popote alipo Mungu ambariki .

Dah rafiki nikifika tena huko soda yangu itakuhusu ndugu yangu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Umeachana na Dem anaenda kwa mtu mwingine..ananunuliwa gari wewe unajisifia na kutangaza kwa watu kwamba aliyekuwa Dem wako amenunuliwa gari...
 
Najiuliza kule Afcon, wachezaji wa Mali watakuwa wanaongozwa na Diara kuja kambi ya Taifa stars kuwasalimia washkaji, naye Ki Azizi atakuwa anaesleta wabukinabe wenzake kuja kupiga stori na wabongo, Sijui Simba Wana mchezaji gani ambaye ameitwa kwenye timu ya Taifa na nchi yake imefuzu tofauti na Taifa stars?
Zambia
 
Back
Top Bottom