Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kocha ifikie muda amwamini,acheze full timeTena hapo kaingia sub dakika ya 82 na mpaka dakika 87 kafunga goal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha ifikie muda amwamini,acheze full timeTena hapo kaingia sub dakika ya 82 na mpaka dakika 87 kafunga goal
Utopolo huwajui akili zao?Goli la ushindi kivipi wakati timu imeshinda 2-0?
Au mleta mada hujui maana ya goli la ushindi?
Ingekua wameshinda kwa mfano 2-1 au 1-0 hapo ndio lingekua ni goli la ushindi.
Hivi samata alishawahi kuifungia Taifa Stars bao hata moja?Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi
Wapi alipo max?Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi