utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Yaani jamaa ametumia dak 8 tu alizocheza kuleta matokeoKaingia tu na goool.
Zinatia uchungu[emoji23][emoji23]Takwimu ziendeleee...
Hatari sanaaaa[emoji106]Yaani jamaa ametumia dak 8 tu alizocheza kuleta matokeo
Mambo ya riziki hayo mzee. Huoni maguire anaichezea Manchester, wakati nyoni kaishia simba tu😂[emoji2956][emoji2956]
Huyu jamaa huwa ananishangaza sana kuwa ni kwanini katika umri mdogo hakuweza kuchezea ULAYA ?!!!
Kaliba ya uchezaji wake huikuti kwa "washambuliaji" wengi barani humu.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kolo tulia..🤪🤪Labda mimi ndie ambae sielewi maana ya goli la ushindi yaani timu ishinde 2-0 halafu useme amefunga goli la ushindi!!? ILA ALIEWAITA UTOPOLO MBWA ALIONA MBALI.
Acha Wivu..🤣🤣🤣Goli la ushindi kivipi wakati timu imeshinda 2-0?
Au mleta mada hujui maana ya goli la ushindi?
Ingekua wameshinda kwa mfano 2-1 au 1-0 hapo ndio lingekua ni goli la ushindi.
Goli la pili ndilo limewafanya wafuzu kwa kuwa na wastani mzuriLabda mimi ndie ambae sielewi maana ya goli la ushindi yaani timu ishinde 2-0 halafu useme aliefunga goli la pili amefunga goli la ushindi!!? ILA ALIEWAITA UTOPOLO MBWA ALIONA MBALI.
Wewe ni brigedia wa wajinga bila shakaGoli la pili ndilo limewafanya wafuzu kwa kuwa na wastani mzuri