Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,134 Reaction score 14,593 Sep 11, 2023 #41 Blueprint 9 said: Tena hapo kaingia sub dakika ya 82 na mpaka dakika 87 kafunga goal Click to expand... Kocha ifikie muda amwamini,acheze full time
Blueprint 9 said: Tena hapo kaingia sub dakika ya 82 na mpaka dakika 87 kafunga goal Click to expand... Kocha ifikie muda amwamini,acheze full time
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Sep 11, 2023 #42 The Icebreaker said: Goli la ushindi kivipi wakati timu imeshinda 2-0? Au mleta mada hujui maana ya goli la ushindi? Ingekua wameshinda kwa mfano 2-1 au 1-0 hapo ndio lingekua ni goli la ushindi. Click to expand... Utopolo huwajui akili zao?
The Icebreaker said: Goli la ushindi kivipi wakati timu imeshinda 2-0? Au mleta mada hujui maana ya goli la ushindi? Ingekua wameshinda kwa mfano 2-1 au 1-0 hapo ndio lingekua ni goli la ushindi. Click to expand... Utopolo huwajui akili zao?
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,046 Reaction score 2,453 Sep 11, 2023 #43 chama konokono said: Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi Click to expand... Hivi samata alishawahi kuifungia Taifa Stars bao hata moja?
chama konokono said: Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi Click to expand... Hivi samata alishawahi kuifungia Taifa Stars bao hata moja?
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Sep 11, 2023 #44 chama konokono said: Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi Click to expand... Wapi alipo max?
chama konokono said: Wakati Mayele akiibeba nchi yake mabegani mwake, inonga yeye ameendelea kusugua benchi Click to expand... Wapi alipo max?