Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga.

Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
 
Arudi awafunge Ndanda.
 
Bonge la Mshambuliaji Fiston Kalala Mayele.

Anatetema mithili ya Tembo Kwenye Mbuga.

Fiston Kalala Mayele Esalie byeee.
 
Nenda kwenye forum za pyramid ukawaeleze haya, mayele sasa sio mchezaji wa Yanga... Kuendelea kumjadili mchezaji aliyeondoka nikuonesha utahira na uzwazwa.
 
Hawa warabu sio kama walimtaka mayele akawafungie magoli bali ni njia ya kuhujumu na kudhoofisha timu zetu kama huamini skulazimishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…