Hawawezi kujaa airport, huwa hawana ushamba huo. By the way wao wenye akili wapo wengi, sio wawili tuIkitokea kweli fiston mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea
ha ha ujinga mtupuIkitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston
Mwisho kabisa ibenge kajua vizuri kucheza na akili za wasudani kabisa baada ya kuona tayari katolewa club bingwa akaona achomekee habari za mayele kwa mashabiki wa al hilal kuanzia jana kila page ya mpira Sudan ni habari za fiston. Mayele tu View attachment 2577736View attachment 2577737
Na tutawapokea wydad tenaaaUshamba huo wa kujaa airport kupokea wageni / wachezaji uko Yanga tu. Hao wengine unawasingizia hizo tabia hawana
Mara paap! Waydad kapigwa nje ndani na Simba. Sijui mtasema nn tena?Na tutawapokea wydad tenaaa
Wataishia kuongea tu Ila mbele ya pesa GSM haruki maana ataona uwekezaji wake unaanza kuzaa matunda.Kama nawaona mashabiki wa yanga watasema hauzwi
Kwa hiyo psg walipompokea mess ni ushamba?Ushamba huo wa kujaa airport kupokea wageni / wachezaji uko Yanga tu. Hao wengine unawasingizia hizo tabia hawana
Amka...kumekucha..usije ukajinyea bureMara paap! Waydad kapigwa nje ndani na Simba. Sijui mtasema nn tena?
Kumpokea mtu ni ukarimu sio ushambaKwa hiyo psg walipompokea mess ni ushamba?