Fiston Mayele atajiunga na Al Hilal Sudan next season

Fiston Mayele atajiunga na Al Hilal Sudan next season

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston

Mwisho kabisa ibenge kajua vizuri kucheza na akili za wasudani kabisa baada ya kuona tayari katolewa club bingwa akaona achomekee habari za mayele kwa mashabiki wa al hilal kuanzia jana kila page ya mpira Sudan ni habari za fiston. Mayele tu
Screenshot_20230405_142949_com.facebook.katana.jpg
Screenshot_20230405_142704_com.facebook.katana.jpg
 
Ushamba huo wa kujaa airport kupokea wageni / wachezaji uko Yanga tu. Hao wengine unawasingizia hizo tabia hawana
 
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston

Mwisho kabisa ibenge kajua vizuri kucheza na akili za wasudani kabisa baada ya kuona tayari katolewa club bingwa akaona achomekee habari za mayele kwa mashabiki wa al hilal kuanzia jana kila page ya mpira Sudan ni habari za fiston. Mayele tu View attachment 2577736View attachment 2577737
ha ha ujinga mtupu

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa Yanga wameipokeaje hii taarifa?
 
Makolo bana yaani hizi tetesi za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu, sijasikia Okwa wala Okra kutakwa na timu nyingine alafu uyo Mayele mbona mlishawahizusha kasajiliwa na timu ya South Africa
 
Back
Top Bottom