kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Ikitokea kweli Fiston Mayele kwenda al hilal ya soudan na fikiri siku hiyo mashabiki wa al hilal watajaa airport kumpokea huyu mwamba sio kwa mapenzi haya kwa fiston
Mwisho kabisa ibenge kajua vizuri kucheza na akili za wasudani kabisa baada ya kuona tayari katolewa club bingwa akaona achomekee habari za mayele kwa mashabiki wa al hilal kuanzia jana kila page ya mpira Sudan ni habari za fiston. Mayele tu