Nimecheki game ya DRC vs Maroc
Nimegundua kongo hatuna centre fowerd mpambanaji kama fiston mayele
Hawa akina mbokani na bakambu hili wawe Makali wanaitaji wawe na viungo wazuri ambao watakuwa na walisha mipira mizuri na wakikosekana ao na wao wanapotea katika game kitu ambacho kwa fiston mayele naona ni tofauti kabisa
Fiston mayele kwenye game namba 10 akipotea katika game yeye ana cheza kama namba kumi pia
Namba 7 akipotea yeye anacheza kama namba 7 au namba kumi na moja akipotea yeye ana cheza ma namba 11
Sio mchezaji wa kutegemea apewe saana assist akiona imeshindikana kumpa assist yeye mwenye ana chukuwa jukumu la kupambana hili apane assist au apambane apate ata penalti
Ila kinacho fanya kongo wa mchukulie fiston powa kwasababu ana cheza afrika tena Tanzania
Wakongo tunazarau saana league ya Tanzania ila kwa ukweli yanga watafaidi mengi kutoka kwa mayele msimu ujao