Fiston Mayele: Hazina bora kwa Yanga msimu ujao

Fiston Mayele: Hazina bora kwa Yanga msimu ujao

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Nimecheki game ya DRC vs Maroc
Nimegundua kongo hatuna centre fowerd mpambanaji kama fiston mayele

Hawa akina mbokani na bakambu hili wawe Makali wanaitaji wawe na viungo wazuri ambao watakuwa na walisha mipira mizuri na wakikosekana ao na wao wanapotea katika game kitu ambacho kwa fiston mayele naona ni tofauti kabisa

Fiston mayele kwenye game namba 10 akipotea katika game yeye ana cheza kama namba kumi pia
Namba 7 akipotea yeye anacheza kama namba 7 au namba kumi na moja akipotea yeye ana cheza ma namba 11

Sio mchezaji wa kutegemea apewe saana assist akiona imeshindikana kumpa assist yeye mwenye ana chukuwa jukumu la kupambana hili apane assist au apambane apate ata penalti

Ila kinacho fanya kongo wa mchukulie fiston powa kwasababu ana cheza afrika tena Tanzania

Wakongo tunazarau saana league ya Tanzania ila kwa ukweli yanga watafaidi mengi kutoka kwa mayele msimu ujao

instagram_1648592146284.jpg
instagram_1648592102574.jpg
 
Hakuma kitu hapo! Huyo anajua kucheza na akina ruvu shuting, mbeya kwanza, coast union.......
 
Hakuna atakayemuona kama ataendelea kucheza kwenye timu dhaifu kama hiyo ambayo kwenye mashindano ya CAF ni mechi Moja tu chali.
 
I wish Viongozi wa Yanga na Benchi zaima la ufundi watamuongezea ushindani kutoka kwa yule striker wa Geita Gold, au Reliant Lusajo wa Namungo.

Maana Heritier Makambo, kiukweli siyo yule wa misimu kadhaa iliyopita.
 
Hakuma kitu hapo! Huyo anajua kucheza na akina ruvu shuting, mbeya kwanza, coast union.......
Kumbe lile gori aliwafunga Simba ilikuwa ni mbeya kwanza B?. Chuki mbaya sana 😀.
 
Back
Top Bottom