Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
 
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu- molinga
 
Kwa nini unasema tumepigwa!?
..hata mie nashangaa, unawezaje kum-judge mchezaji kwa mechi moja tuuu?
Rejea ya Obrey Chirwa na wengineo, ambao walihitaji muda kuzoea. Wachezaji wako wa aina mbili kuu..Kuna wanaozoea mazingira mapya kwa haraka zaidi na wanaohitaji muda mrefu kidogo kuzoea mazingira. Hawawezi wote wakawa sawa ndugu. Ila kiushabiki waweza ongea chochote upendacho, Ila kiufundi iko hivyo kama nlivyoeleza
 
Makambo ana magoli mengi msimu huu.Yesu nae Yanga wamepata mtu,Shaban Djuma ni hatari ila mbovu wa majeraha,ila ni mzima atanyanyasa sana kwasababu ya uwezo wake wa kupanda na kumwaga maji.
...Yan mtani Leo umeongea cha maana kuh Yanga...😊😊😊
 
Wachezaji wala sina mashaka nao- hawakupata maandalizi - Pre season ya siku 4 hayo sio maandalizi.

Mimi jana niliona Yanga imepigwa fedha za kumlipa Kofii Olomide (Alikuwa anaimba huku mashabiki wanaamua kukaa kwenye viti na kusinzia).

Pia Kabwili nae ule wimbo wake wa Yanga kama mlimlipa - Mmepigwa (Anaimba kama amelewa)

Haji Manara (Yuda) - Alijitahidi ku-Copy na ku-Paste yote aliyofanya akiwa Simba.
 
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!

Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.

Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.

Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
We unasema mayele tumepigwa umemuona kacheza dk ngap mpaka umjaji? Sisi tunaemjua tunajua ni suala la muda tu azoee lakini ni bonge la mshambuliaji weka akiba ya maneno
 
..hata mie nashangaa, unawezaje kum-judge mchezaji kwa mechi moja tuuu?
Rejea ya Obrey Chirwa na wengineo, ambao walihitaji muda kuzoea. Wachezaji wako wa aina mbili kuu..Kuna wanaozoea mazingira mapya kwa haraka zaidi na wanaohitaji muda mrefu kidogo kuzoea mazingira. Hawawezi wote wakawa sawa ndugu. Ila kiushabiki waweza ongea chochote upendacho, Ila kiufundi iko hivyo kama nlivyoeleza
Mimi sikuona amepewa nafasi nzuri akakosa kufunga ama kumtengenezea mwingine
 
Back
Top Bottom