Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Bado tu una imani kua tumepigwa?aisee hebu futa kauli yako haraka sana tena kwa maandishi
 
Wewe kweli huna takwimu hivi hujui ni huyuhuyu mayele aliipiga taufa stars hapo dar,walipicheza na congo,mayele sio mchezaji mdogo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi uwe na akili japo kidogo yaani mchezaji aifunge Taifa Stars ndio umuone wa maana, awafunge mafarao huko sio hawa wavuta ugoro
Nyie yule mrembo Banda mmemuonea wapi kama sio kwenye mechi moja ya Taifa stars dhidi ya Malawi. Vipi kuhusu Chikwende mlimuona kwenye mechi ngapu?
 
Kufunga goli moja kelele, ligi ni safari ndefu, muda ni mwalimu mzuri, Mayele tumepigwa
Utakua hujawahi kucheza mpira wewe! Fiston Mayele ni mshambuliaji mwenye unyumbulifu.

Aina hii ya washambuliaji ni hatari sana! Ukifanya tu makosa ndani ya eneo lako, dakika hiyo hiyo anakuadhibu.
 
Ndala mko over excited tu,ila anafunga obvious goal kama kagere tu goal alilofunga mayele leo halina tofauti na la dodoma jiji
Na magoli yote ni kutokana na ushapu wake. Ana maamuzi ya haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…