Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello JF,
Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa.
Hongera Sana Mwamba,
The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏
Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila umetisha sana Mwamba.
Baraka tele huko Pyramids FC
Wabillah Tawfiq
Wadiz ndio mimi