Fitness and wellness

Fitness and wellness

Dota mie mazoezi nafanyaga japo muendelezo ndio shughuli[emoji134]

Njoo, perfect combo baada ya mazoezi ni kujienjoy.

fa4e289f603c8bdfe7cb35f5104f7e73.jpg
 
Njoo, perfect combo baada ya mazoezi ni kujienjoy.

fa4e289f603c8bdfe7cb35f5104f7e73.jpg
Aaah! We ndio unanipaga mzuka wa mazoezi, sema we mzoefu 5km in 30 mins sio mchezo. This w.end tutakwenda wote, lazima niivunje hiyo rekodi yako.
 
Aaah! We ndio unanipaga mzuka wa mazoezi, sema we mzoefu 4km sio mchezo. This w.end tutakwenda wote, lazima niivunje hiyo rekodi yako.
Hahaha huwezi kuivunja kwasababu jana nimeenda 5kms. Usisubiri weekend my love.
 
Kama mchoro unavyoonyesha squats hutarget quads/thigh na butt. Kwa wanawake wanaotaka kuwa na sexy butt hawana budi kufanya squats, kwa wanaume hasa athletes kama mimi mcheza soka squats hujenga na kuongeza nguvu za miguu.

View attachment 404153
asante cna mkuu ni vzr upige idadi gani na vipi km utaamua kubeba kitu kizito na huku ukapiga squarts??
 
Nina kitambi kikubwa nataka nikate kabisa niwe na six pck na kifua kipana mazoezi yapi yanafaa? Msaada plz
 
asante cna mkuu ni vzr upige idadi gani na vipi km utaamua kubeba kitu kizito na huku ukapiga squarts??
Itafaa zaidi, binafsi huwa nafanya sets nne za reps 10 kila moja. Huwa naanza na plate moja kama pichani kisha naongeza plate ya pili for set2, plate ya 3 for set 3&4.

1474449244715.png
 
Nina kitambi kikubwa nataka nikate kabisa niwe na six pck na kifua kipana mazoezi yapi yanafaa? Msaada plz
Fanya weightlifting na cardio pamoja ila weightlifting iwe 75% ya mazoezi yako. Weightlifting ni kama bench press, squats, shoulder press, leg press, deadlift, push ups, pull ups etc. Cardio ni running, jogging, jumping, biking etc

Zingatia diet na kunywa maji ya kutosha. Utahitaji discipline na patience ya hali ya juu
 
ok ila nina local equipments nd natumia kupigia squarts vitu vya zege c unajua mkuu
Hata hizo zina faa Mkuu cha muhimu fanya reps za kutosha. Unaweza fanya sets tatu set1 10reps, set2 15reps, set3 20reps kwa uzito huo huo ulio nao. Unaweza adjust zaidi sets zako tokana na mwili wako utavojisikia.

Note: Thighs ni moja ya muscles kubwa mwilini hivyo kabla ya kufanya squats nzito hakikisha una nguvu au usiwe na njaa wala kushiba sana na baada ya squats probably utasikia njaa piga msosi. Ni zoezi zuri sana lenye kujenga mwili kwa ujumla
 
sawa mkuu mm huwa napiga set 5 na reps 25 za one in two kwa hyo napiga km reps 250 hivi
 
Back
Top Bottom