Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hihihi kama nakuona fidodidoNafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hihihi kama nakuona fidodidoNafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.
Kweli katika magumu tunamwona Mungu. Me nipo nani huyu tena anapiga Injili, kumbe ni msukuma!!! Kweli Mungu ni mkuu sana, atakurejeshea tu upya afya yako.Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Haya mkuu poleSio gari mkuu. Ila kwenye physio session nimekutana na watu wengi waliopata ajali.
Pole sana mpendwa, Mungu atakurudisha tu katika hali ya zamani.Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Pole sana Mkuu, Mwenyezimungu atakusaidia!
Bila shaka itakua gari ,ndio maana unakua mkali unaposikia mada za watu wanaendesha speed hovyo hovyo
Pole sana
Pole sana Mkuu, Mungu azidi kukutia nguvu.
squarts zinasaidia nn mkuu??Ongeza calisthenics exercises kwenye workout routine yako kama push ups, squats, dips, crunches, pull ups, plunges and planks. Anza haya kabla ya kufanya cardio
Kwenye cardio tumia HIIT method (High intensity interval training) yani fanya cardio kwa intensity yako ya juu halafu pumzika Kidogo then rudia.
Naamini unazingatia diet maana mazoezi bila diet ni kazi bure. Good luck Mkuu
Push ups hapana aisee imenishinda, japo sit ups,crunches,squart nk nafanya.Ongeza calisthenics exercises kwenye workout routine yako kama push ups, squats, dips, crunches, pull ups, plunges and planks. Anza haya kabla ya kufanya cardio
Kwenye cardio tumia HIIT method (High intensity interval training) yani fanya cardio kwa intensity yako ya juu halafu pumzika Kidogo then rudia.
Naamini unazingatia diet maana mazoezi bila diet ni kazi bure. Good luck Mkuu
Dota mie mazoezi nafanyaga japo muendelezo ndio shughuli[emoji134]Hihihi kama nakuona fidodido
Hongera, maana mie mweeeehDota mie mazoezi nafanyaga japo muendelezo ndio shughuli[emoji134]
Hahahaaaa!! Nitaanza kukuambukiza taratibu taratibu, mazoezi ni wito acha tu!Hongera, maana mie mweeeeh
Push ups ni ngumu mwanzoni ila ni bonge ya zoezi nakusihi usiache kujaribu. Anza taratibu kwa kufanya assisted push ups mikono ikizoea ndiyo ujaribu push up kamili. Push ups na pull ups ni best exercises.Push ups hapana aisee imenishinda, japo sit ups,crunches,squart nk nafanya.
Nashukuru nitazingatia.
Kama mchoro unavyoonyesha squats hutarget quads/thigh na butt. Kwa wanawake wanaotaka kuwa na sexy butt hawana budi kufanya squats, kwa wanaume hasa athletes kama mimi mcheza soka squats hujenga na kuongeza nguvu za miguu.squarts zinasaidia nn mkuu??
Inawezekana boss ila ningeshauri ufanye pull ups na dips zaidi kuliko push ups kama hutaki kifua kitanuke. Aidha fanya push ups kwa uchache na weka narrow grip ili Target yako iwe mikono badala ya kifua.Mtu ukitaka kufanya Push up kwa kujiweka Mwili Mzuri kiafya hasa kwa tuliosogea umri bila ya kutanua au kuvimbisha kifua inawezekana kweli? I like Push up inachokera ni kule kuongeza kifua ukubwa wake na kututumua Manyonyo!
Inawezekana boss ila ningeshauri ufanye pull ups na dips zaidi kuliko push ups kama hutaki kifua kitanuke. Aidha fanya push ups kwa uchache na weka narrow grip ili Target yako iwe mikono badala ya kifua.
Kama mchoro unavyoonyesha squats hutarget quads/thigh na butt. Kwa wanawake wanaotaka kuwa na sexy butt hawana budi kufanya squats, kwa wanaume hasa athletes kama mimi mcheza soka squats hujenga na kuongeza nguvu za miguu.
View attachment 404153
Mazoezi kama kitu kingine chochote yana side effects zake kama hutofanya kwa usahihi au kama utafanya kwa kutozingatia limitations zako.Nimesoma sehemu kuwa hizo squats zinasababisha Matatizo ya Joints ukiwa unafanya frequently
Amen.Kweli katika magumu tunamwona Mungu. Me nipo nani huyu tena anapiga Injili, kumbe ni msukuma!!! Kweli Mungu ni mkuu sana, atakurejeshea tu upya afya yako.