Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
1. Nafasi ni moja.
2. Sihitaji mambo mengi.
3. Weka namba yako ya simu pm.
3. Hakikisha umekamilika.
4. Uzowefu usipungue mwaka 2.
TAHADHARI:-
A. Vijana mkitaka kusaidiwa basi jitahidi kuwa na fully nondo.
B. Tatizo langu mimsela lakini nipo a bit smart upstairs...😊
C. Kazi ni mining.
D. Mshahara ni kuanzia 600k.
E. Sichukui rushwa wala sipendelei mtu.
F. Njoo na vigezo, tutakufanyia usahili online.
G. Mwisho wa maombi ni tarehe 7 August 2024 hrs 13:00