Fitter Mechanics Vacancy

Fitter Mechanics Vacancy

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
1. Nafasi ni moja.
2. Sihitaji mambo mengi.
3. Weka namba yako ya simu pm.
3. Hakikisha umekamilika.
4. Uzowefu usipungue mwaka 2.
TAHADHARI:-
A. Vijana mkitaka kusaidiwa basi jitahidi kuwa na fully nondo.
B. Tatizo langu mimsela lakini nipo a bit smart upstairs...😊
C. Kazi ni mining.
D. Mshahara ni kuanzia 600k.
E. Sichukui rushwa wala sipendelei mtu.
F. Njoo na vigezo, tutakufanyia usahili online.
G. Mwisho wa maombi ni tarehe 7 August 2024 hrs 13:00
 
Mining ipi km ni northmara njoo utanikuta huku
 
1. Nafasi ni moja.
2. Sihitaji mambo mengi.
3. Weka namba yako ya simu pm.
3. Hakikisha umekamilika.
4. Uzowefu usipungue mwaka 2.
TAHADHARI:-
A. Vijana mkitaka kusaidiwa basi jitahidi kuwa na fully nondo.
B. Tatizo langu mimsela lakini nipo a bit smart upstairs...😊
C. Kazi ni mining.
D. Mshahara ni kuanzia 600k.
E. Sichukui rushwa wala sipendelei mtu.
F. Njoo na vigezo, tutakufanyia usahili online.
G. Mwisho wa maombi ni tarehe 7 August 2024 hrs 13:00
Jamani jamani
Anko
Hivi za kuosha vyombo ndio umegoma kabisa kuweka?
 
Siwezi kukaa kimya wakati natafuta kazi ya sisi tuliokimbia shule.

Anko
Naomba tuongee kuhusu ile dirty job uliisema...
Kama ipo please,nina kijana wangu.
Nikianza kuondoka Chunya nitakusemesha mpwa..
 
Siwezi kukaa kimya wakati natafuta kazi ya sisi tuliokimbia shule.

Anko
Naomba tuongee kuhusu ile dirty job uliisema...
Kama ipo please,nina kijana wangu.
Nikianza kuondoka Chunya nitakusemesha mpwa..
 
Stay blessed mkuu...
Wazee tukiwachana vijana wanatubadilisha eti "tunazingua" qudadadeq....🤥
Hakuna fitter aliyekamilika anayeweza kuchukua mshahara wa 600k.

Nakuhakikishia, ukimpata wa kumlipa laki sita njoo unipige mawe.

Kuna kampuni pale nyarugusu Geita nao wanatafuta fundi, wao wanatoa 750,000. Hawajawahi kupata hadi kesho.
 
Let's start the game...
Fitter ni nani??
Aliekamilika anajua nini??
Ambae hajakamilika anajua nini??
Fitter, Fitter Mechanics na Mechanical Fitter wanatofautiana wapi??
Ukiniambia Nyalugusu, Nyaluyeye, Nyalwanzaja, Nyakitonto, Nyakagwe na maeneo kama hayo... naona kama you are too young in the game...😊
 
Back
Top Bottom