Fixed account vs Bonus account

Fixed account vs Bonus account

KINGSLEE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
830
Reaction score
1,046
Habari wadau,

Hivi vitu viwil huwa vinanisumbua sana.

E.g; Kwa kuanzia milion moja

Je, ni kipi kinalipa zaidi na kwa Bank gani?

Msaada please kwa mwenye kujua maana nataka ni-Invest somewhere.
 
KINGSLEE

Nilisikia ni Mkombozi Bank........lakini sina uhakika.......ngoja mshana jr aje.......yeye ni muhasibu..........
 
Last edited by a moderator:
Benki zote wapo kwa ajili ya faida tu. Mimi niliweka bonus account ya 50m na wanalipa baada ya miezi mitatu. juzi nilifuatilia kujua riba yangu cha kushangaza kwa muda wa miezi mitatu wamenieleza kuwa riba yangu ni 467,000. Mimi nimeona ni upuuzi nimeamua kuchukua fedha zangu nizifanyie shughuli nyingine.
 
hii kitu inachanganya wengi hesabu za benk ni za benki,ukiwa mfuatiliaji unaujua ukweli within 30minutes
lakini tatizo ni mahesabu ya mwaka tunafikiri mwaka ni miez 12 wao mwaka ni 1,ukipiga hesabu za kawaida kwa kuhesa miezi unaweza kujipa big up,ni majanga.
 
Benki zote wapo kwa ajili ya faida tu. Mimi niliweka bonus account ya 50m na wanalipa baada ya miezi mitatu. juzi nilifuatilia kujua riba yangu cha kushangaza kwa muda wa miezi mitatu wamenieleza kuwa riba yangu ni 467,000. Mimi nimeona ni upuuzi nimeamua kuchukua fedha zangu nizifanyie shughuli nyingine.

Sory; ivi ni bank gan uliweka hyo milion 50?
 
Hivi mnakosaje kazi za kuzifanyia hizo fedha hadi mzitelekeze bank??

Tatzo la bussines ni managment!
Ndo maana m2 anafkria bonus/fixed Account.
E.g. Ni Mwanafunz anasoma at the same time anataka kuinvest ela yake ili ijzalishe huku yeye akiendelea na masomo...
 
bora ununue hisa. kuweka fedha ktk akaunt ukitegemea faida. usiogope risk,
 
Niliweka somo kuhusu treasury bills na bonds. Kama huna matumizi na pesa zako nenda wekeza kule. Fixed deposit huwa benki haziwaambii ukweli Riba halisi ni ndogo mnoo. Na kama mfano ukiona fixed ya miezi mitatu Riba ni asilimia 4 hapo ujue kama uliweka milioni 50 utachopata sio asilimia 4 ya hiyo pesa.

Bali hiyo asilimia 4 ni Riba ya mwaka mzima ko kupata ya hiyo miezi yako mitatu unachukua hiyo asilimia 4 unagawa kwa nne. Ambayo italeta pesa ndogo sana.

Ndo benki zetu hizo za kitanzania wala hawana mda wa kuelimisha watu the best way to earn more with their money.

Bank za wenzetu wanaoitwa bankers ni watu wa umuhimu sana na wanaheshima kubwa mnoo.

Mambo kama haya mngepaswa kuelezwa.
 
Kuliko kuweka pesa benki bora ukanunua stocks na kutumia ile certificate kuombea mkopo benki kwa biashara yako.
 
Back
Top Bottom