Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 166
Usijaribu huu mchezo na kama una pesa uko kazifate, hukawii kuskia Saccos imefilisika na pesa inapotelea uko kwa Mwanza kuna saccos kama Victoria na Mwakapa ziliingiliwa na matapeli wakajikopesha pesa afu wakadai pesa wametapeliwa.Kuna SACCOS moja inaitwa VISION SACCOS website yao Vision Saccos Ltd. - Tanzania wapo kijitonayama wana mpango wa akibab amana.(fixed acc) unapata 5%/1 month and 1 week. Minn deposit should be 500,000/- hope this is better!! you can visit their website or the office for more info.
Hii nayo inaweza kusindikiza huu uziView attachment 528485
Kwa maana hyo anaeweka 50milions anapata 5M kwa mwezi?Hii nayo inaweza kusindikiza huu uziView attachment 528485
jamii yetu ina asili ya UZEMBE , ANASA badala ya kupenda kazi, kujadili maendeleo, mfano tu angalia magazeti zaidi ya nusu ni UDAKU, USHABIKI hasa mpira maeneo ya pwani unaharibu sana vijana, unaharibu uchumi level ya family, mitaani magenge 8 ya watu kati ya 10 utakuta mjadala/ushabiki wa mpira 7/30/365 wengine wakishinda njaaMbona nyuzi zahivi huwa hazina wachangiaji wengi? Shida ninn?
Elimu ya pesa ni ndogo sana kwa kizazi cha kiafrika sio Tanzania tuuuuuuuu. Ni kwa jamii nyingi za kiafrika, hata ulaya waafrika wengi wapo kwa ajili ya kutawaliwa na wazungu wanajalibu waafrika wasijue ivi vituMbona nyuzi zahivi huwa hazina wachangiaji wengi? Shida ninn?
Ivi izi treasury bills wanafanya vip? Kupata bei ya asilimia kwa pesa unayowekaHakuna bank inayotoa interest ya zaidi ya asilimia mbili kwenye annual fixed deposits, hizo za miezi mitatu
inategemea na treasury bills rate ziko vipi then wana qoute low.
Kwa kifupi, usitegemee faida doing business with any bank in tanzania
Hii nayo inaweza kusindikiza huu uziView attachment 528485
Nimewauliza Access bank ni kweliDah kama ni kweli hii ndo ya kuwekeza
Mkuu nimewasiliana nao ni kweliHii inahitaji uthibistisho maana niliona sehemu kuwa haina ukweli
Hapo sasa hakuna haja kufanya biasharaNimewauliza Access bank ni kweli
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hawa Access waongo sana, Niliwahi kuwafata kuhusiana na hili Bandiko lao...Wakaishia kujikanyaga kanyaga tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Na kunitajia Riba tifauti na Hizi walizoweka hapa.Hii nayo inaweza kusindikiza huu uziView attachment 528485
Hamna ukweli wowote hapo, Wafate uone, Utashangaa mwenyewe.Dah kama ni kweli hii ndo ya kuwekeza
Sio Kweli Mkuu.Mi niliwafata hadi Ofisini kwao. Nikaongea na hao Customer Care. Walichonipa, Nilinyanyuka, Sikurudi tena.Nimewauliza Access bank ni kweli
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hata mimi niliona hako ka Chance, Nikasema nitaenda kutupia Madafu fulani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .Hapo sasa hakuna haja kufanya biashara
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
I Agree with you, watu wengi huwa wanakosea calculations za Annual interest. Hakuna benki Duniani ambayo itakupa milioni 7 ndani ya mwaka mmoja kwa sababu ume deposit milioni 10. yani zaidi ya asilimia 50 ya principal amount. Benki zingekuwa zimefilisika zamani sana.....JAMANI WANA JF KWANZA KABISA NAOMBA MCHUKUE TAHADHARI.., MARA NYINGI BANKERS HAWAKO WAZI KABISA,, YAWEZEKANA KUTOELEWA KWETU NDIO FAIDA KWAO., WANATOA/TANGAZA TAARIFA NUSUNUSU..
wakisema 6% riba ni kwa mwaka sio hiyo miezi 3 anayotaja that means 6% gawa miezi 12 zidisha miezi 3= 1.5 % ..,
hivyo basi kwa 10,000,000 x 1.5 % = shs 150,000 tu riba utakayolipwa
mwisho wa kipindi hicho cha miezi 3 utakuta kwenye account 10 mln + 150,000=10,150,000= tu
utakuwa umeliwa bora hata biashara ya mkaa., sidhani hiyo riba itakusaidia kulinganisha na mtaji huo. badala yake wao watamkopesha mtu hizo pesa zako na ku-charge 18% gawa 12 x 3 =4.5% x 10 miln = shs 450,000= km ni fixed loan.,,
kwa maelezo zaidi waweza uliza.
Dah ntajaribu nione kama ni kweliHata mimi niliona hako ka Chance, Nikasema nitaenda kutupia Madafu fulani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .
Nilichokikuta huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] , Nilijuta kupoteza muda wangu kwenda kwao.
Kajaribu utupe mrejesho.
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app