Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Kuna SACCOS moja inaitwa VISION SACCOS website yao Vision Saccos Ltd. - Tanzania wapo kijitonayama wana mpango wa akibab amana.(fixed acc) unapata 5%/1 month and 1 week. Minn deposit should be 500,000/- hope this is better!! you can visit their website or the office for more info.
Usijaribu huu mchezo na kama una pesa uko kazifate, hukawii kuskia Saccos imefilisika na pesa inapotelea uko kwa Mwanza kuna saccos kama Victoria na Mwakapa ziliingiliwa na matapeli wakajikopesha pesa afu wakadai pesa wametapeliwa.
 
Mbona nyuzi zahivi huwa hazina wachangiaji wengi? Shida ninn?
jamii yetu ina asili ya UZEMBE , ANASA badala ya kupenda kazi, kujadili maendeleo, mfano tu angalia magazeti zaidi ya nusu ni UDAKU, USHABIKI hasa mpira maeneo ya pwani unaharibu sana vijana, unaharibu uchumi level ya family, mitaani magenge 8 ya watu kati ya 10 utakuta mjadala/ushabiki wa mpira 7/30/365 wengine wakishinda njaa
 
Mbona nyuzi zahivi huwa hazina wachangiaji wengi? Shida ninn?
Elimu ya pesa ni ndogo sana kwa kizazi cha kiafrika sio Tanzania tuuuuuuuu. Ni kwa jamii nyingi za kiafrika, hata ulaya waafrika wengi wapo kwa ajili ya kutawaliwa na wazungu wanajalibu waafrika wasijue ivi vitu

Mfano mzuri waafrika waliopo Marekani wakipata pesa wanakimbilia kununua magari ya kifahari badala ya kuwekeza katika masoko ya mitaji wanakimbilia kwenye starehe

Wenzetu wanaijeria ndio waafrika waliofunguka macho na wanawekeza sana katika uchumi wao kama katika Masoko ya mitaji, Hisa na izi Hati za vipande
 
Hakuna bank inayotoa interest ya zaidi ya asilimia mbili kwenye annual fixed deposits, hizo za miezi mitatu
inategemea na treasury bills rate ziko vipi then wana qoute low.

Kwa kifupi, usitegemee faida doing business with any bank in tanzania
Ivi izi treasury bills wanafanya vip? Kupata bei ya asilimia kwa pesa unayoweka
 
Hii nayo inaweza kusindikiza huu uziView attachment 528485
Hawa Access waongo sana, Niliwahi kuwafata kuhusiana na hili Bandiko lao...Wakaishia kujikanyaga kanyaga tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Na kunitajia Riba tifauti na Hizi walizoweka hapa.

Poor Them.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nimewauliza Access bank ni kweli

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sio Kweli Mkuu.Mi niliwafata hadi Ofisini kwao. Nikaongea na hao Customer Care. Walichonipa, Nilinyanyuka, Sikurudi tena.

Ushauri; Watumie njia nyingine kuwavutia wateja wengi , na Si hii njia. Disapponted.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Hapo sasa hakuna haja kufanya biashara

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Hata mimi niliona hako ka Chance, Nikasema nitaenda kutupia Madafu fulani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .

Nilichokikuta huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] , Nilijuta kupoteza muda wangu kwenda kwao.

Kajaribu utupe mrejesho.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Ni naomba kuuliza: je kiwango cha mwisho kuweka pesa benki kwa mtu binafsi ni kiasi gani ? Yani naweza kufungua akaunti yangu na nikaweka kama bilioni moja na kuendelea au kuna vkwazo apo

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
JAMANI WANA JF KWANZA KABISA NAOMBA MCHUKUE TAHADHARI.., MARA NYINGI BANKERS HAWAKO WAZI KABISA,, YAWEZEKANA KUTOELEWA KWETU NDIO FAIDA KWAO., WANATOA/TANGAZA TAARIFA NUSUNUSU..

wakisema 6% riba ni kwa mwaka sio hiyo miezi 3 anayotaja that means 6% gawa miezi 12 zidisha miezi 3= 1.5 % ..,
hivyo basi kwa 10,000,000 x 1.5 % = shs 150,000 tu riba utakayolipwa

mwisho wa kipindi hicho cha miezi 3 utakuta kwenye account 10 mln + 150,000=10,150,000= tu

utakuwa umeliwa bora hata biashara ya mkaa., sidhani hiyo riba itakusaidia kulinganisha na mtaji huo. badala yake wao watamkopesha mtu hizo pesa zako na ku-charge 18% gawa 12 x 3 =4.5% x 10 miln = shs 450,000= km ni fixed loan.,,

kwa maelezo zaidi waweza uliza.
I Agree with you, watu wengi huwa wanakosea calculations za Annual interest. Hakuna benki Duniani ambayo itakupa milioni 7 ndani ya mwaka mmoja kwa sababu ume deposit milioni 10. yani zaidi ya asilimia 50 ya principal amount. Benki zingekuwa zimefilisika zamani sana.....
 
Hizo fixed hazna uhalisia wwte ukilinganisha na interest wanazotoa ,,unaposema mtu ukiweka for three months unapata 1. M haiko hivyo mkuu kuna calculator ya excel wanatumia kukutoa faida ni kidogo kweli
Mfano mi niliweka 10m NMB kwa three months 6% interest,ila nkaambulia faida ya 100000/=
Hzi banks wako kibiashara zaidi hawako kwa ajili maslahi ya mteja.
Ts better to invest in government securities!

Sent from my HTC One mini using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi niliona hako ka Chance, Nikasema nitaenda kutupia Madafu fulani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] .

Nilichokikuta huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] , Nilijuta kupoteza muda wangu kwenda kwao.

Kajaribu utupe mrejesho.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Dah ntajaribu nione kama ni kweli

Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom