Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Hizo fixed hazna uhalisia wwte ukilinganisha na interest wanazotoa ,,unaposema mtu ukiweka for three months unapata 1. M haiko hivyo mkuu kuna calculator ya excel wanatumia kukutoa faida ni kidogo kweli
Mfano mi niliweka 10m NMB kwa three months 6% interest,ila nkaambulia faida ya 100000/=
Hzi banks wako kibiashara zaidi hawako kwa ajili maslahi ya mteja.
Ts better to invest in government securities!

Sent from my HTC One mini using JamiiForums mobile app
Tungejiuliza swali hili kwanza; wao watoe pesa nyingi/riba kubwa hiyo wao wanatoa wapi hizo PESA!? The answer is, pesa hizo zinatoka kwetu tunapo KOPA kwao so ili wao wapate faida 2 things should be done; moja ni kutupa riba kubwa tunapo KOPA and then na wao kuwahamasisha watu waweke pesa kwa hiyo fixed acc with riba reasonable (haiwezi kua sawa na ile wanayo toza wao ukikopa). So ni mzunguko wa pesa zetu wenyewe, hawa wanaweka pesa bank na wengine wana kopa bank.
 
Siwezi weka hela kwenye fixed maana faida ni kidoog sana
 
Siwezi weka hela kwenye fixed maana faida ni kidoog sana
 
Alafu hata kama riba ikawa ndio iyo....

Yaani umeke m50 kwa mwezi wakupe m5 unaona ndio faida saaana......

Kwani ukiizungusha sehem nyingine iyo m50 ina maana hautopata... iyo m5 per month..

Acheni uvivu wa kufikiri.... na kufanya.....

Sent from "La -Vista"
 
Habari zenu wakuu? Kama kichwa knavyosema hapo juu, naitaji kujua/kufafanuliwa jinsi ya kufungua fixed account katka benk ya CRDB. Na je rate ya faida inakuaje na ni kiasi gani unatakiwa uweke au uanze nacho (minimum balance to invest)?. Na je unaweza kuifix kwa mda wa miezi miwili??. Au ni lazma mda uwe mrefu kdogo, Ntashukuru kwa maelekezo yenu ahsanteni..

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
UTT ni nin mkuu na inafanyaje
Ni mfuko wa serikali wa uwekazaji ambao unafanana na hisa lakini wenyewe risk yake ni ndogo sana umegawanyika katika mifuko midogomidogo kama umoja,ukwasi,watoto n.k kwa maelezo zaidi nenda tawi lolote CRDB utajiunga na kujaza taarifa pia kila baada ya taarifa ITV huwa wanatangaza unaweza kufuatilia na kucheki mfuko utakao upenda
UTT ni nin mkuu na inafanyaje
Ni mfuko wa serikali wa uwekazaji ambao unafanana na hisa lakini wenyewe risk yake ni ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK thanks
 
Nimepiga faida ya $ 3,200 ndani ya dakika 30 trading options forex. Hiyo ni faida kutoka nilipoanzia kabla ya trade mpaka nilipoishia.

Ndani ya dakika 30. Dakika 10 kuusoma mchezo na movement ya currencies prices, dakika 20 za ku trade. Mwisho wa deal cha chiing.

Sasa mtu nikiwana akili za kusoma forex trading (futures options) namna hiyo, ukiniambia niweke hela benki nisubiri mwezi sijui kwa interest rates za kitoto naona wewe hela yako hujui kuizungusha.

Nimetoka kufanya hivyo saa moja tu iliyopita. Na ni kiwa mroho potentially naweza kufanya mara 23 kwa siku in theory.

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom