Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Tungejiuliza swali hili kwanza; wao watoe pesa nyingi/riba kubwa hiyo wao wanatoa wapi hizo PESA!? The answer is, pesa hizo zinatoka kwetu tunapo KOPA kwao so ili wao wapate faida 2 things should be done; moja ni kutupa riba kubwa tunapo KOPA and then na wao kuwahamasisha watu waweke pesa kwa hiyo fixed acc with riba reasonable (haiwezi kua sawa na ile wanayo toza wao ukikopa). So ni mzunguko wa pesa zetu wenyewe, hawa wanaweka pesa bank na wengine wana kopa bank.Hizo fixed hazna uhalisia wwte ukilinganisha na interest wanazotoa ,,unaposema mtu ukiweka for three months unapata 1. M haiko hivyo mkuu kuna calculator ya excel wanatumia kukutoa faida ni kidogo kweli
Mfano mi niliweka 10m NMB kwa three months 6% interest,ila nkaambulia faida ya 100000/=
Hzi banks wako kibiashara zaidi hawako kwa ajili maslahi ya mteja.
Ts better to invest in government securities!
Sent from my HTC One mini using JamiiForums mobile app